jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,523
- 43,540
Mtei tu hapo. Wengine si zao la kwetu CCM?Mimi ccm ila nakujibu
1. Mtei
2. Lowassa
3. Kingunge
4. Sumaye
Nadhani nimekujibu mkuu
CHADEMA kila mmoja ana ndevu kama kambale. Nitajie wazee wanne wa chadema.
Watu wenye busara ndani ya chama wanaoweza kuokoa jahazi muda wowote!!!Wazee maana yake nini haswa?
Sumaye naye ni mzee? Afu nani amekwambia hao watatu wa mwisho ni chadema?Mimi ccm ila nakujibu
1. Mtei
2. Lowassa
3. Kingunge
4. Sumaye
Nadhani nimekujibu mkuu
Kingunge Ngombale Mwiru.CHADEMA kila mmoja ana ndevu kama kambale. Nitajie wazee wanne wa chadema.
UmelongaCHADEMA kila mmoja ana ndevu kama kambale. Nitajie wazee wanne wa chadema.