Hivi ni kwanini?

arete

Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
7
Reaction score
3
Kiukweli nimeona nilete hoja hii humu ndani tuijadili, kwanini wanaume wengi wamekuwa ni chanzo cha uvunjifu wa ndoa? kwa kawaida mwanaume anapoingia kwenye ndoa mwanzo humpenda sana mkewe na wala hafikiri kama kuna siku atacheat kadhalika mkewe, lakini miaka michache au hata miezi michache baadaye utasikia ndoa imeanza kuyumba na sababu kubwa ni wanaume kwanini lakini????????????? mi kwa utafiti na uchunguzi nilioufanya kwa wanawake na wanaume wenye ndoa zao nimegundua tatizo husababishwa na wanaume, labda niwaulize wanaume mtusaidie majibu ili turekebishe penye mapungufu ili twende sawa na ndoa zidumu twafaaaaaaaaa
 
naomba ripoti yako ya utafiti, nikiangalia sample size, eneo husika na methodology ulotumia nitaweza kukomenti.

Vinginevyo acha nijinywee ulabu.
 
wewe sie twapenda utamu thats just how it is hamna jipya
alafu kitu kingine hii mambo ya gf na bf ndio imeleta matatizo maana unakuta huku mwanaume kashaonja onja wanawake kafha so hiyo tabia anaendelea nayo hadi ndani ya ndoa.....solution ni watu kutogegedana kabla ya kuwa mke na mume
 

sio suluhu ya tatizo,suluhisho ni wat wamrudie Mungu tu
 
Tatizo lipo kwenye Uzezeta na misamaha tupatayo kutoka kwa wanawake ndio maana moyoni mwetu tuna kitu kinaitwa GO ON nikikamatwa yataisha.
 
mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…