Kuna katabia naona wadada wengi ninaowatongoza wanakuwa nacho, ukiwatongoza kwa mara ya kwanza wanaweka kaugumu fulani hivi ila nikiwapotezea sikawii mda mrefu nashangaa wanaanza kujilengesha na game napewa kirahisi wakati mwanzoni alikuwa hataki wala kunielewa, hivi huwa wanakuwa wanashindwa kutofautisha almasi na kioo? Au ndo wamekariri usinikubali harakaharaka?