HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,105
- 1,426
Tatizo lililopo ni kua watu wanaiba kwa kushirikiana! Ni kama kamtandao flani hivi! Utanyonga wengi sana! Ingawa mbuzi wa kafara hawakosekani!Tuanze na hawa wa TWIGA BANCORP. Bil 28.5 si za kuachwa hiv hivi
Tunyonge tu hakuna namna,tumeibiwa mno.Tatizo lililopo ni kua watu wanaiba kwa kushirikiana! Ni kama kamtandao flani hivi! Utanyonga wengi sana! Ingawa mbuzi wa kafara hawakosekani!
Haya ndio matatizo ya kuweka akilini kua ulizaliwa ili upate ajira sehemu flani!Anza kumnyonga anaesotesha vijana mtaani bila kazi, tena bila sababu ya msingi.....
Kwa nini umebadilisha ile Avatar yako ya mwanzo ...? iliyokuwa bomba kuliko hiyo uliyoeka.Anza kumnyonga anaesotesha vijana mtaani bila kazi, tena bila sababu ya msingi.....
HackedKwa nini umebadilisha ile Avatar yako ya mwanzo ...? iliyokuwa bomba kuliko hiyo uliyoeka.
Tena ni matatizo makubwa mnoooHaya ndio matatizo ya kuweka akilini kua ulizaliwa ili upate ajira sehemu flani!
Nikiona ile Avatar yako na ile michango yako huwa navutiwa sana nawe, iyo imenishtua kidogo. Any way I accede your Idea.Hacked