hivi ni kutojifahamu au kutojua unachotaka!!!!!!!!!!!!!

ecomplex

New Member
Apr 16, 2012
2
0
Ndugu zanguni mimi niko chuo kimojawapo mkoani morogoro. kuna binti niliyetokea kumzoea then nikafall in love nika mweleza akasemahaiwezekani coz she is in love ready nikatulia ila bado mazoea yakaendelea kuwepo. mwaka wa kwanza ukaisha akiwa kabalisha wanaume vya kutosha. second year mimi nikaamua kuwa mbali nae coz tabia zake sikuzipenda. ameanza kulalamika kupitia kwa rafiki zangu akinituhumu kuwa mimi ndo sieleweki na hapo ni baadaya kutoswa kote alikokuwa na kila ankojipendekeza anatoswa. sawa mimi still sina mtu lakini nakuwa na hofu kuwa naye coz hajielewi na hana future. niambieni wadau nifanye nini???????????
 
endelea kukaa mbali, rebound relationship zina ajali mbaya sana! Yani kama huo mwaka aliobadilisha wanaume hakukuweka kwenye hiyo cycle yake ya wanaume anaotaka kungonoka nao ina maana wewe ni wa (idadi aliyoishia nayo+1). kwa hiyo anataka kukurudia coz no boy is availlable-na wewe at her covenient time anakuacha. Ushauri-kuwa mbayuwayu

Sio kutojielewa, ni mtu tu kajipangia cycle yake ya kungonoka
 
sasa huelewi nini?

Karatasi ya maswali ya mtihani haijaandikwa nijibu nini?

Au nijitungie maswali?
 
Ndugu zanguni mimi niko chuo kimojawapo mkoani morogoro. kuna binti niliyetokea kumzoea then nikafall in love nika mweleza akasemahaiwezekani coz she is in love ready nikatulia ila bado mazoea yakaendelea kuwepo. mwaka wa kwanza ukaisha akiwa kabalisha wanaume vya kutosha. second year mimi nikaamua kuwa mbali nae coz tabia zake sikuzipenda. ameanza kulalamika kupitia kwa rafiki zangu akinituhumu kuwa mimi ndo sieleweki na hapo ni baadaya kutoswa kote alikokuwa na kila ankojipendekeza anatoswa. sawa mimi still sina mtu lakini nakuwa na hofu kuwa naye coz hajielewi na hana future. niambieni wadau nifanye nini???????????

mkuu we ndo hujielewi. Kama she was inlove, af still akarukaruka, je upo tayari kumtuliza? Unajiamin kuwa kwako hataondoka? Yan u dont have to think, about her..you've to think of u&urfuture.
Is she real the right choice for u?
We unahitaji mwanamke wa aina gani,je anafit vigezo,?coz usijekuwa nae eti kwa sababu hana mtu,4the sake of pity!not love! Either kwa yeye o wewe! Think big, maamuzi ya haraka, yatakucost!kikubwa zingatia book,ilo lisikuumize kichwa! Chuo wachache sana wamebahatika kumaintain relationshps ad ndoa! Very Few,
 
bila hata kuuliza, ulipaswa ku-conclude kwamba huyo binti hakufai... kuendelea kuulizauliza ni kutafuta justification ambayo itaku-cost kupita maelezo
 
Jibu mbona unalo, you are not interested in her why bother about being together. Too many fish in the pool, angaza kwengine.
 
Back
Top Bottom