Habar wana jamii forum.
Kwenye maisha kuna mambo mengi, kuna wakati unaweza fanya jambo la ajabu ila kwa kuwa uko mwenyewe inabaki kuwa siri yako.
Mimi upande wangu. Kuna nyumba nilikuwa nimepanga miaka kadhaa iliyopita. Hiyo nyumba ilikuwa na wapangaji tusiopungua 12. Sasa hiyo nyumba ilikuwa na bafu na choo kimoja. Jambo ambalo likitupa shida sana baadhi ya wapangaji ambao tulikuwa tukiamka alfajir kwenda makazini na wengine kwenye mihangaiko yao ya kila siku.
Jambo ambalo lilitulazimu kupanga foleni kwa ajili ya kwenda kuoga asubuh. Mimi nikaanzisha kamchezo kangu ili kuweza kuokoa muda. Nikawa naoga ndani kwenye jaba la kuhifadhia majikamchezo hako kakaendelea kiasi kwamba ikafika wakati nikaona hakuna haja ya kwenda bafuni hata kusipokuwa na foleni.
Ikafika wakati wapangaji wenzangu wakaniuliza vp wewe jamaa huwa uogi..kumbe mzee nina bafu langu ndani.
Hebu na wewe tushirikishe la kwako.
Hyo Avatar yako mkuu mhh
Nilichoanza nini??Hadithia kile ulichoanza kufanya
Ohoooo!!!Ulikuwa mchafu,hata kunya ulikuwa unakunya humohumo
Ohoooo!!!Hitimisho ikawaje mkuu?Siku nilimtongoza member humu ana jina la kike kumbe alikuwa mwanaume..
Duh!!!Ilikuwaje ukaona mliingia naye bafuni kuoga?Niliona uchi wa shangazi yangu....
Akiwa bafuni akinyoa nywele za sehemu za siri.
Kipindi hicho nilikuwa mdogo.
Ohooooo!!!Wa kike au wakiume?Niliwahi kukutwa napigs puchu na mdogo wangu
Uliomba iwe ni ndoto aiseeeNilikua kwenye matembezi kiatu kikanikatikia alafu nimejikwatua balaa.
Kilichotea siri yangu
Ulitisha mkuuHabar wana jamii forum.
Kwenye maisha kuna mambo mengi, kuna wakati unaweza fanya jambo la ajabu ila kwa kuwa uko mwenyewe inabaki kuwa siri yako.
Mimi upande wangu. Kuna nyumba nilikuwa nimepanga miaka kadhaa iliyopita. Hiyo nyumba ilikuwa na wapangaji tusiopungua 12. Sasa hiyo nyumba ilikuwa na bafu na choo kimoja. Jambo ambalo likitupa shida sana baadhi ya wapangaji ambao tulikuwa tukiamka alfajir kwenda makazini na wengine kwenye mihangaiko yao ya kila siku.
Jambo ambalo lilitulazimu kupanga foleni kwa ajili ya kwenda kuoga asubuh. Mimi nikaanzisha kamchezo kangu ili kuweza kuokoa muda. Nikawa naoga ndani kwenye jaba la kuhifadhia majikamchezo hako kakaendelea kiasi kwamba ikafika wakati nikaona hakuna haja ya kwenda bafuni hata kusipokuwa na foleni.
Ikafika wakati wapangaji wenzangu wakaniuliza vp wewe jamaa huwa uogi..kumbe mzee nina bafu langu ndani.
Hebu na wewe tushirikishe la kwako.
Niliona uchi wa shangazi yangu....