Hivi ni kitu gani cha ajabu ulishawahi kufanya ukiwa peke yako?

Habar wana jamii forum.
Kwenye maisha kuna mambo mengi, kuna wakati unaweza fanya jambo la ajabu ila kwa kuwa uko mwenyewe inabaki kuwa siri yako.

Mimi upande wangu. Kuna nyumba nilikuwa nimepanga miaka kadhaa iliyopita. Hiyo nyumba ilikuwa na wapangaji tusiopungua 12. Sasa hiyo nyumba ilikuwa na bafu na choo kimoja. Jambo ambalo likitupa shida sana baadhi ya wapangaji ambao tulikuwa tukiamka alfajir kwenda makazini na wengine kwenye mihangaiko yao ya kila siku.

Jambo ambalo lilitulazimu kupanga foleni kwa ajili ya kwenda kuoga asubuh. Mimi nikaanzisha kamchezo kangu ili kuweza kuokoa muda. Nikawa naoga ndani kwenye jaba la kuhifadhia maji kamchezo hako kakaendelea kiasi kwamba ikafika wakati nikaona hakuna haja ya kwenda bafuni hata kusipokuwa na foleni.

Ikafika wakati wapangaji wenzangu wakaniuliza vp wewe jamaa huwa uogi..kumbe mzee nina bafu langu ndani.

Hebu na wewe tushirikishe la kwako.

Aiseeh ulitisha sana, mambo ya self container
 
Ulitisha mkuu
 
Hyo Avatar yako mkuu mhh
439552.jpg

hahahahahahahaahaha
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom