The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,960
- 2,942
majuzijuzi nilimsikia ole sendeka msemaji wa ccm akijigamba eti ccm imekua kimbilio na tumaini la wanyonge kwa miaka yote tangu uhuru wa tanzania nashndwa kumwelewa sendeka ni ccm ipi anayoizungumzia coz ikiwa ni hii anayoiongoza yule mzee wa kule chalinze haina sifa hata moja ya kuwa tumaini la wanyonge labda kama tumaini lenyewe ni kupewa shati kofia na kanga ila vinginevyo hata sendeka anajua wanufaika wakubwa wa ccm si wanyonge