Hivi ndivyo ukahaba unavyofanyika kupitia simu na mitandao ya kijamii



Wewe lazima utakuwa supplier tu, umeamua kutangaza biashara humu
 
Pale unaposhtuka jua linazama ndio unapoanza hisi mwisho wa dunia umekaribia!.
 
Pia wale wa mitandaoni kwa sasa wanazuka mji flan na kupanga chumba hotelini basi wateja wake wa mji huo wanakuwa wanamfuata pale hotelini wanakula mzigo na kuondoka baada ya muda kama wiki kadhaa anaondoka mji huo na kuhamia kwingine, na hapo anaweza kurudi baada miezi kadhaa, ni kama wanazunguka kwenye miji kufanya consultation
 
Mitandao ina faida yake na ikitumika vibaya ina hasara kubwa, Mungu katupa akili na mitandao na kilicho baki ni wewe tu na akili yako on how are you gonna use it,
 
Ni wakati wa kuwaweka dada zetu kwenye Common External Tariff!
Ni muhimu aina zote ziingizwe kwenye Harmonized Commodity Description and Coding System.
Ili tupate kodi, imagine mtu anaenda mpaka marekani na mwingine anatoka marekani ana import nyeti zake halafu halipi kodi.
Huku ni kuikosesha serikali mapato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…