UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Unaweza kuwa na mada nzuri lakini inaharibiwa na style yako ya kila neno kuanza na herufi kubwa... Kiukweli nimeingiwa uvivu hata kuisoma...Hbr Wana Great Thinkers.Leo Asubuhi Nimeamshwa Na Zogo La Watu Nje Nikatoka Kusikiliza.Nimekuta Kijana Mdogo Wa Miaka 19 Anamtukana Mtu Mzima Age 36 Kisa Hajaogesha Ng'ombe Kwa Dipu.Anaambiwa Nanukuu "jitu Zima Unakimbilia Kukamua Na Kuuza Tu Toka Hapa Na Kazi Huna Paki Malonya Yako" Jamaa Anaomba Msamaha Dogo Haelewi.Jamani Pesa Ndo Ifanye Tuwadharau Watu Waliotupita Umri?
Wewe onyo'anokho huna kazi unashindaga kwenye mtandao tu? utaua watoto kajinga wewe!Ndio mambo ya pesa hayooo
ok poapoa mkuu ubarikiweWewe onyo'anokho huna kazi unashindaga kwenye mtandao tu? utaua watoto kajinga wewe!
Wewe onyo'anokho huna kazi unashindaga kwenye mtandao tu? utaua watoto kajinga wewe!
du!ok poapoa mkuu ubarikiwe
Tunatofautiana mkuu,wengine hii ndo starehe yetu and wengine Money works for them kupata more money wakati wengine they work for money.Ila natumai ulikuwa unatania kumwambia hivi.Wewe onyo'anokho huna kazi unashindaga kwenye mtandao tu? utaua watoto kajinga wewe!
hizo comment zenu wawili, amekuita nani vileee!!!!
Hbr Wana Great Thinkers.
Leo Asubuhi Nimeamshwa Na Zogo La Watu Nje Nikatoka Kusikiliza. Nimekuta Kijana Mdogo Wa Miaka 19 Anamtukana Mtu Mzima Age 36 Kisa Hajaogesha Ng'ombe Kwa Dipu.
Anaambiwa Nanukuu "jitu Zima Unakimbilia Kukamua Na Kuuza Tu Toka Hapa Na Kazi Huna Paki Malonya Yako" Jamaa Anaomba Msamaha Dogo Haelewi. Jamani Pesa Ndo Ifanye Tuwadharau Watu Waliotupita Umri?
hizo comment zenu wawili, amekuita nani vileee!!!!
Wewe humu unafanya nini?? Mpumbavu usiye na akili.Wewe onyo'anokho huna kazi unashindaga kwenye mtandao tu? utaua watoto kajinga wewe!
Hahahahahaaaaa... majibu yako yanamkatisha tamaa mtu aliyepanga kukushambulia!ok poapoa mkuu ubarikiwe