Hivi Ndivyo Pesa Inavyo Dhalilisha Watu Wazima.

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Hbr Wana Great Thinkers.
Leo Asubuhi Nimeamshwa Na Zogo La Watu Nje Nikatoka Kusikiliza. Nimekuta Kijana Mdogo Wa Miaka 19 Anamtukana Mtu Mzima Age 36 Kisa Hajaogesha Ng'ombe Kwa Dipu.

Anaambiwa Nanukuu "jitu Zima Unakimbilia Kukamua Na Kuuza Tu Toka Hapa Na Kazi Huna Paki Malonya Yako" Jamaa Anaomba Msamaha Dogo Haelewi. Jamani Pesa Ndo Ifanye Tuwadharau Watu Waliotupita Umri?
 
Hbr Wana Great Thinkers.Leo Asubuhi Nimeamshwa Na Zogo La Watu Nje Nikatoka Kusikiliza.Nimekuta Kijana Mdogo Wa Miaka 19 Anamtukana Mtu Mzima Age 36 Kisa Hajaogesha Ng'ombe Kwa Dipu.Anaambiwa Nanukuu "jitu Zima Unakimbilia Kukamua Na Kuuza Tu Toka Hapa Na Kazi Huna Paki Malonya Yako" Jamaa Anaomba Msamaha Dogo Haelewi.Jamani Pesa Ndo Ifanye Tuwadharau Watu Waliotupita Umri?
Unaweza kuwa na mada nzuri lakini inaharibiwa na style yako ya kila neno kuanza na herufi kubwa... Kiukweli nimeingiwa uvivu hata kuisoma...
 
Wewe onyo'anokho huna kazi unashindaga kwenye mtandao tu? utaua watoto kajinga wewe!
Tunatofautiana mkuu,wengine hii ndo starehe yetu and wengine Money works for them kupata more money wakati wengine they work for money.Ila natumai ulikuwa unatania kumwambia hivi.
 
Hbr Wana Great Thinkers.
Leo Asubuhi Nimeamshwa Na Zogo La Watu Nje Nikatoka Kusikiliza. Nimekuta Kijana Mdogo Wa Miaka 19 Anamtukana Mtu Mzima Age 36 Kisa Hajaogesha Ng'ombe Kwa Dipu.

Anaambiwa Nanukuu "jitu Zima Unakimbilia Kukamua Na Kuuza Tu Toka Hapa Na Kazi Huna Paki Malonya Yako" Jamaa Anaomba Msamaha Dogo Haelewi. Jamani Pesa Ndo Ifanye Tuwadharau Watu Waliotupita Umri?

Shida yako umechanganya kazi na mambo ya kuwa na pesa, huyo Mzee yupo kazini na ana majukumu yake aliyopewa, kama hajayatimiza ana haki ya kuambiwa ukweli, sasa jinsi ya kumwambia inategemea na "ntu na ntu" wengine wana lugha laini wengine ngumu
 
Njia pekee ya kuepukana na fedheha kama hizo ni kutafuta pesa kwa nguvu zako zote angali ukiwa kijana, ukifikia uzee kama pesa huna ndio utaona balaa lake, keep on fighting guys, usilalelale utakuja kutukanwa na vijana wadogo hasa baadhi ya hawa wanaoachiwa pesa za urithi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom