UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Hbr Wana Great Thinkers.
Leo Asubuhi Nimeamshwa Na Zogo La Watu Nje Nikatoka Kusikiliza. Nimekuta Kijana Mdogo Wa Miaka 19 Anamtukana Mtu Mzima Age 36 Kisa Hajaogesha Ng'ombe Kwa Dipu.
Anaambiwa Nanukuu "jitu Zima Unakimbilia Kukamua Na Kuuza Tu Toka Hapa Na Kazi Huna Paki Malonya Yako" Jamaa Anaomba Msamaha Dogo Haelewi. Jamani Pesa Ndo Ifanye Tuwadharau Watu Waliotupita Umri?