Hivi ndani ya gari kuna hewa 'Air Circullation'

Forecaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
220
Reaction score
149
Kwa wataalam wa magari naomba kujuzwa hivi kama gari ipo off na milango yote imefungwa; kama mtu yupo ndani anaweza pata hewa ya zoxygen
 
ww elimu yako ni kiwango gani?iyohewa itatoka wapi wakati umefunga kila kitu?jaribu uonw balaa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…