Kuwa specific, Optometry kwa level gani certificate, diploma au degree ?Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry hata kwa chuo cha private?
O'level
Physics- D
Chemistry- D
Biology- C
English- C
B/Maths- F
Advance
Geog- "B"
Chemistry- C
Biology- "B"
BAM- F
Na ikitokea kwa mfano chuo kikakutaarifu umechaguliwa ila unakuta umepungukiaa na sifa moja ya programu uliyoiomba, maamuzi ya NACTE yanakuwaje juu ya hilo?
Nacte wanaangalia vigezo vya O level sio vya A levelKuna dogo kataarifiwa na chuo fulani kuwa kachaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa programu hiyo ya Optometry na taarifa zake zimepelekwa NACTE kwa ajili ya uhakiki. Ila baada ya kufuatilia vizuri kwenye Admission Guide book, hiyo programu ina demand ya Physics, Chemistry, Biology na B/Mathematics lazima kwa cheti cha O'level. Sasa nashindwa kujua hapo inakuwaje, ndiyo maana nikataka kujua how possible kwa watu watakao kuwa na uzoefu wa haya mambo.
watampiga hela yake bure huyo dogo. Chuo atasoma na dakika za mwisho hatatambulika kama ni muhitimu. Mwambie akimbie sana hao ni wezi. Na nacte wataanza kutaarifu watu kuanzia tarehe 15/9.Kuna dogo kataarifiwa na chuo fulani kuwa kachaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa programu hiyo ya Optometry na taarifa zake zimepelekwa NACTE kwa ajili ya uhakiki. Ila baada ya kufuatilia vizuri kwenye Admission Guide book, hiyo programu ina demand ya Physics, Chemistry, Biology na B/Mathematics lazima kwa cheti cha O'level. Sasa nashindwa kujua hapo inakuwaje, ndiyo maana nikataka kujua how possible kwa watu watakao kuwa na uzoefu wa haya mambo.
kama unalazimisha kupigwa mm sina neno ngoja nikae kimya. Clouds tv juzi walikuwa na kipindi maalumu na mtumishi kutoka NACTE akitoa darasa kuhusu haya maswala kwani wanapokea taarifa nyingi za wananchi kupigwa na wenye vyuo. Tafuta ukajifunze kisha ujikadirie.Wao wamemchagua na taarifa zake tayari zimedhibitishwa na NACTE kuwa zimepokewa kwa ajili ya udahili, kwa hiyo kilichobakia ni kusubiri majibu ya NACTE, hata wao wamesema masuala ya kujiunga rasmi hadi uhakiki uishe ndo watapata taarifa zaidi. Inshu ni kwamba inawezekana akawa verified na NACTE huku akiwa kapungukiwa na pass ya Mathematics ambayo kwenye hiyo kozi ni ya lazima licha ya kutumika kama sifa ya ziada kwa kozi karibu zote za afya?
Km math ni sifa ya ziada na sio ya lazima hapo hmn shida bac.....na course nyng za afya math na English zinakua ni additional requirements. Ukiwa nazo ni vizur lkn pia usipokua nazo hakijaaribika kitu km nafas ipo unapata tuWao wamemchagua na taarifa zake tayari zimedhibitishwa na NACTE kuwa zimepokewa kwa ajili ya udahili, kwa hiyo kilichobakia ni kusubiri majibu ya NACTE, hata wao wamesema masuala ya kujiunga rasmi hadi uhakiki uishe ndo watapata taarifa zaidi. Inshu ni kwamba inawezekana akawa verified na NACTE huku akiwa kapungukiwa na pass ya Mathematics ambayo kwenye hiyo kozi ni ya lazima licha ya kutumika kama sifa ya ziada kwa kozi karibu zote za afya?
ameshasema ni sifa ya lazima na si ziada mkuu.Km math ni sifa ya ziada na sio ya lazima hapo hmn shida bac.....na course nyng za afya math na English zinakua ni additional requirements. Ukiwa nazo ni vizur lkn pia usipokua nazo hakijaaribika kitu km nafas ipo unapata tu
Kuna dogo .
Achana na optometry mkuu huwezi pata.. hata private pale mvumi hupati...Hivi mtu mwenye ufaulu huu anaweza kusoma kozi ya Optometry hata kwa chuo cha private?
O'level
Physics- D
Chemistry- D
Biology- C
English- C
B/Maths- F
Advance
Geog- "B"
Chemistry- C
Biology- "B"
BAM- F
Na ikitokea kwa mfano chuo kikakutaarifu umechaguliwa kujiunga katika chuo husika ila unakuwa umepungukiwa na sifa moja katika yale masomo yanayohitajika na programu uliyoiomba, maamuzi ya NACTE yanakuwaje juu ya hilo?
Hapati kwa sababu gani mkuu.Achana na optometry mkuu huwezi pata.. hata private pale mvumi hupati...
Naifahamu hii kozi nipo mwaka wa tatu sasa apa kcmc
Hajakidhi vigezo vya nacte,hiyo F ya maths ndio tatizo.. at least angekuwa na D pale mvumi wangemchukua haraka SanaHapati kwa sababu gani mkuu.
Kama ana F ya maths au F ya physics na chuo kikampokea ..system ya nacte itakuja kumtema hapo baadae na mwisho wa siku utalazimika kubadili koziKuna dogo kataarifiwa na chuo fulani kuwa kachaguliwa kujiunga na chuo hicho kwa programu hiyo ya Optometry na taarifa zake zimepelekwa NACTE kwa ajili ya uhakiki. Ila baada ya kufuatilia vizuri kwenye Admission Guide book, hiyo programu ina demand ya Physics, Chemistry, Biology na B/Mathematics lazima kwa cheti cha O'level. Sasa nashindwa kujua hapo inakuwaje, ndiyo maana nikataka kujua how possible kwa watu watakao kuwa na uzoefu wa haya mambo.
Sawa nimekuelewa mkuu!Kama ana F ya maths au F ya physics na chuo kikampokea ..system ya nacte itakuja kumtema hapo baadae na mwisho wa siku utalazimika kubadili kozi
Mkuu hebu tupe details ya hii kozi kama hutajali.Kama ana F ya maths au F ya physics na chuo kikampokea ..system ya nacte itakuja kumtema hapo baadae na mwisho wa siku utalazimika kubadili kozi