I'm sorry to say this dear, Elimu yetu imeshuka kiwango sana, graduates wengi hawako creative kabisa zaidi ya hilo la kujituma.
Inahitaji kuwa fighter and at the same well upstairs katika maisha na shule, pia vijana wengi wanapenda mteremko wa maisha, wanapenda kubebwa sana. Wakisahaona mtu katika familia kafanikiwa hawapendi kujituma tena wakidhani kuwa watapata unafuu kwa kupitia migongo yao.
Ina bidi ufanye uamuzi mgumu, muulize nini anapenda kufanya, muwezesha kama ni mtaji na usimamizi wa mwanzo, then muache, umkimfatilia sana sio ajabu utakuja hadi kumlipia hadi mahari.