N Nebuchadneza JF-Expert Member Joined Oct 6, 2023 Posts 435 Reaction score 1,095 Jan 13, 2024 #1 Habari. Je ni matapeli au wa kweli??
N Nebuchadneza JF-Expert Member Joined Oct 6, 2023 Posts 435 Reaction score 1,095 Jan 13, 2024 Thread starter #2 Msaada nataka kuwajua
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,900 Jan 13, 2024 #3 Wajuzi wa Utapeli kwenye mitandao wanakuja kukupa miongozo. TULIA HAPOHAPO. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Wajuzi wa Utapeli kwenye mitandao wanakuja kukupa miongozo. TULIA HAPOHAPO. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
MBAPPE JF-Expert Member Joined Mar 7, 2018 Posts 306 Reaction score 347 Jan 13, 2024 #4 Mimi niliwapiga 15,000 nikapotea
MBAPPE JF-Expert Member Joined Mar 7, 2018 Posts 306 Reaction score 347 Jan 13, 2024 #5 Hao ni matapeli wanakuja na gia ya pre paid tasks za kulike video na kusubscribe halafu unalipwa, utapeli wao upo kwenye hizo wanaziita merchants payments.
Hao ni matapeli wanakuja na gia ya pre paid tasks za kulike video na kusubscribe halafu unalipwa, utapeli wao upo kwenye hizo wanaziita merchants payments.
Messenger RNA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 1,496 Reaction score 3,871 Jan 13, 2024 #6 Nchi hii ukifa maskini ni ujinga wako,wakupigwa hawaishi.
Zingzingzing JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 847 Reaction score 898 Jan 13, 2024 #7 Mkuu nimewapiga 23000 jana tar 12 na leo. Nmekimbia Attachments Screenshot_20240113_092729_Messages.jpg 194.7 KB · Views: 11
Zingzingzing JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 847 Reaction score 898 Jan 13, 2024 #8 Nebuchadneza said: Habari. Je ni matapeli au wa kweli?? View attachment 2870368 Click to expand... Mkuu unaonkn umejiunga mda sana e
Nebuchadneza said: Habari. Je ni matapeli au wa kweli?? View attachment 2870368 Click to expand... Mkuu unaonkn umejiunga mda sana e