Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,886
Wabongo kwa kujifanya wajuajimejja wa jeshi gani?
au ndo meja kuntu sijua kunta?
Hatar sana na yule mwamba kenrezy mzee wa tichi na noniniUmeisahau NGELI YA GENGE
Naye bro mkubwa kakazana na diniYule Mama Mkamba
MAMA Kithanga ashakuwa mwizi
MejjaNaye bro mkubwa kakazana na dini
Daah jamaa alikua anajua
Huku nyeri nakuambia tu ni mashida, mpaka nimeanza kufikiria kuanza kuwapiga ngetaMejja
Barua yako niliishika
Ila haukuniambia kama mihogo yangu ilifika
By the wayHuku nyeri nakuambia tu ni mashida, mpaka nimeanza kufikiria kuanza kuwapiga ngeta
Nipo nao hapaJamaa ni mshikaji sana wa Jua kali,video za Jua kali nyingi jamaa katia manjonjo!!!!