Ohooooo !!!Katumbi NI kama GSM,DEWJI,wananufaika na serikali miradi yote wanagandana na serikali huku wananchi wakizubaishwa kuangalia Simba na YANGA wakisahau kuulizia rasilimali za nchi yao
Tofauti yetu na Wao Katumbi ni Mcongoman wakati wa kwetu ni Wahindi na WA LebanonKatumbi NI kama GSM,DEWJI,wananufaika na serikali miradi yote wanagandana na serikali huku wananchi wakizubaishwa kuangalia Simba na YANGA wakisahau kuulizia rasilimali za nchi yao
HahaNaona unadhani watu wote humu francophone, bonjour
Duuh hii google translator me naonaga inapotosha maana halisiHaha
Mi nimejiongeza nika i paste googke translate, burdaaan kabisa !
Jaribu google translate inasaidia sana , last time nilikuwa nachat na mtu wa spain ambaye hajui english , naandika zangu kiswahili kisha na paste translate , halafu nacopy transition na ku paste whats up , anachonijibu nakiqeka tena translate , !! Easy
Katumbi ni chotara wa Kigiriki kwa baba na RDC kwa mama.Tofauti yetu na Wao Katumbi ni Mcongoman wakati wa kwetu ni Wahindi na WA Lebanon
Hapo kwny mgiriki Malizia Greek-JewishKatumbi ni chotara wa Kigiriki kwa baba na RDC kwa mama.
Asante kwa taarifa halaliKatumbi NI kama GSM,DEWJI,wananufaika na serikali miradi yote wanagandana na serikali huku wananchi wakizubaishwa kuangalia Simba na YANGA wakisahau kuulizia rasilimali za nchi yao
Inaweza kukupeleka chaka sana! Ila kama huna idea ya lugha husika na interaction ni lazima basi declare kwa mhusika kuwa unatumia GT, ili akiona makosa asi mind!Haha
Mi nimejiongeza nika i paste googke translate, burdaaan kabisa !
Jaribu google translate inasaidia sana , last time nilikuwa nachat na mtu wa spain ambaye hajui english , naandika zangu kiswahili kisha na paste translate , halafu nacopy transition na ku paste whats up , anachonijibu nakiqeka tena translate , !! Easy
Huu ni ukweli mchungu sana, yaani watu kutwa nzima ni Yanga na Simba, hakuna cha kuhoji ViongoziKatumbi NI kama GSM,DEWJI,wananufaika na serikali miradi yote wanagandana na serikali huku wananchi wakizubaishwa kuangalia Simba na YANGA wakisahau kuulizia rasilimali za nchi yao