Mwanamayu JF-Expert Member May 7, 2010 11,349 6,476 Sep 10, 2012 #1 Niliingia kwenye gents ya supermarket moja na kusikia jamaa akiwa kwenye 'cubicles' za call ndefu huku akizungumza na simu ya mkononi. Hivi hizi simu kuitwa 'mobile' maanake ni sehemu zote waweza kupiga na kupokea simu? Je, huu ni ustaarabu kweli?
Niliingia kwenye gents ya supermarket moja na kusikia jamaa akiwa kwenye 'cubicles' za call ndefu huku akizungumza na simu ya mkononi. Hivi hizi simu kuitwa 'mobile' maanake ni sehemu zote waweza kupiga na kupokea simu? Je, huu ni ustaarabu kweli?
mayenga JF-Expert Member Sep 6, 2009 4,118 1,966 Sep 10, 2012 #2 popote tu mradi uwe umeishika mkononi.
Ally Kombo JF-Expert Member Nov 11, 2010 11,429 2,645 Sep 10, 2012 #3 mayenga said: popote tu mradi uwe umeishika mkononi. Click to expand... .....................na unayeongea nae anakusikia !
mayenga said: popote tu mradi uwe umeishika mkononi. Click to expand... .....................na unayeongea nae anakusikia !
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 70,993 94,015 Sep 10, 2012 #4 ally kombo said: .....................na unayeongea nae anakusikia ! Click to expand... mkuu kwani hapo kuna tatizo?
ally kombo said: .....................na unayeongea nae anakusikia ! Click to expand... mkuu kwani hapo kuna tatizo?
Ally Kombo JF-Expert Member Nov 11, 2010 11,429 2,645 Sep 10, 2012 #5 watu8 said: mkuu kwani hapo kuna tatizo? Click to expand... ........hakuna tatizoooooo!