Hivi mnyama Ngamia huwa anaambiwa Nini na wachinjaji mpaka anaanza kutoa ishara ya kulia (machozi) na Kisha kuelekea kibra ili achinjwe??

NALIA NGWENA nimekua nikisikiliza mawaidha lakini nimestaajabishwa na habari za Ngamia baada ya kusikia shehe akitoa mawaidha na kutolea mfano Ngamia kulia anaposomewa maneno (Dua) na Kisha kuelekea kibra na kuchinjwa.

Nauliza Ngamia huambiwa Nini mpaka Alie (atoe machozi) na hao wachinjaji??

Na Kama Kuna mtu alishawahi kushuhudia Ngamia akichinjwa aje hapa atuthibitishie.

Nawasilisha swali.
 
Weka evidence kutoka kwenye biblia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wa biblia Mambo ya walawi inaelezea ni aina ya wanyama gani hatupaswi kuwala

kwa wanyama ni wenyewe sifa zifuatazo ambao hawacheui (kama nguruwe), ambao hawana kwato na wenye kwato pia hazijapasuka (zimeungana kama bata), ambao wanacheua lakini kwato zao hazijapasuka and vice versa

viumbe wote wa majini ambao hawana magamba na mapezi (mfano pweza, kqmbale etc), viumbe vyote vyenye miguu mingi ama wanatembea kwa kuburuza tumbo lao (nyoka, jongoo, mjusi, mamba) na wengineo wengi

Hapa chini nanukuu kifungu chote


Mambo ya Walawi 11:1-23

[1]BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia,

[2]Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi.

[3]Kila mnyama mwenye kwato katika miguu yake, mwenye miguu ya kupasuka kati, mwenye kucheua, katika hayawani, hao ndio mtakaowala.

[4]Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.

[5]Na wibari, kwa sababu yeye hucheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.

[6]Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.

[7]Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.


[8]Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.


[9]Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na magamba, ndani ya hayo maji, na ndani ya bahari, na ndani ya mito, mtakula hao.


[10]Na hao wote wasio na mapezi na magamba, ndani ya bahari, na ndani ya mito, katika hao waendao majini, na katika wote wenye uhai, waliomo majini, hao ni machukizo kwenu,


[11]watakuwa machukizo kwenu; msiile nyama yao, na mizoga yao itakuwa machukizo kwenu.


[12]Kila asiye na mapezi wala magamba aliye ndani ya maji ni machukizo kwenu.


[13]Kisha katika ndege hawa watakuwa ni machukizo kwenu; hawataliwa, ndio machukizo; tai, na furukombe, na kipungu;


[14]na mwewe, na kozi kwa aina zake,


[15]na kila kunguru kwa aina zake;

[16]na mbuni, na kirukanjia, na dudumizi, na kipanga kwa aina zake;

[17]na bundi, na mnandi, na bundi mkubwa;

[18]na mumbi, na mwari, na mderi;

[19]na korongo, na koikoi kwa aina zake, na hudihudi, na popo.

[20]Tena vyote vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne, hivi ni machukizo kwenu.

[21]Pamoja na hayo, hivi vitambaavyo vyenye mabawa viendavyo kwa miguu minne ni halali kula, hao walio na miguu mirefu, ya kurukia juu ya nchi;

[22]katika hao mna ruhusa kuwala; nzige kwa aina zake, na nzige kuu kwa aina zake, na panzi kwa aina zake, na parare kwa aina zake.


[23]Lakini vyote vitambaavyo vyenye mabawa, vilivyo na miguu minne, ni machukizo kwenu.

Weka evidence kutoka kwenye biblia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na ukiona huyo Ngamia anaombewa na anatoa hivyo hayo Machozi jua hao Wanaomuombea ni Wasafi hasa Kiimani na hawana baya kwa ( Allah ) Mwenyezi Mungu.

Kuna Ngamia Mmoja alinunuliwa kutokea Lamu Kenya na Kuombewa na Masheikh wa Msikiti wa Londa Kawe na mpaka Asubuhi ya Kuchinjwa hakulia au kutokwa hayo Machozi ndipo hao Masheikh wakaumbuliwa kuwa ni Wachafu ( wana Dhambi nyingi ) na haraka sana Sheikh kutoka Zanzibar akakatiwa upesi Tiketi ya Ndege na kuja Kumuombea ambapo alipofika tu na kupiga Dua ndani ya Saa Moja Ngamia alianza Kukaa chini kisha Kutokwa na Machozi na Kufa rasmi.

Yaani Sheikh kila Siku anapishana Gesti na Loji na GENTAMYCINE ( kwenda na kutoka Kubandua Mademu ) huku baadhi yao wakiwa ni TEAM KWA MPALANGE halafu leo ndiyo awe na Ubavu wa Kiimani wa Kumuombea Ngamia kabla ya Kuchinjwa?
Chai.
 
Huo ni uongo Waislamu na Waarabu wameamua kudanganya dunia... Duniani hamna kiumbe chochote kinapenda kufa hata mbu mwenyewe hapendi kufa.. Bacteria pia Sasa ngamia atajitoleaje auliwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHETANI NI MJANJA SANA.

NI UONGO MTUPU KAMA QURAN KUTOUNGUA.

NGAMIA KULIA NA KUANGALIA KIBRA.

WAISLAMU WAMEZOEA UONGO NA UJANJA JANJA WA KISHETANI.
 
Back
Top Bottom