Yaani wakishajiita wapinzani basi wanapinga tuuu halafu wanachokipinga hawakijuiWabongo hawakumbukagi
Kama unataka kujua hawakumbukagi
Wauli ni tukio gani lilikuwa moto kabla ya hili la makonda?
Sina shaka wengi weshasahau.
Namshauri Magufili akaze hadi waisome namba.
[HASHTAG]#Madawa[/HASHTAG] ya kulevya hayana nafasi.
mdanganye sasaWana bodi:
Mnakumbuka yaliyomkuta kubenea yakumwagiwa tindikali?
Je vyombo vya habari vililiongeleaje lile tukio?
Je waliungana na kuwa kitu kimoja kama wanavyofanya Sasa?
Je kuna waziri yeyote alieunda tume yakulichunguza lile tukio?
Na je matokeo ya uchunguzi yalikuwaje?
Je kuna mwana ccm yeyote aliyeonyesha kuumia kama ilivyo Sasa?
Je kituo cha haki za binaadam walichukua hatua gani?
Hakuna vita ngum duniani kama vita ya madawa ya kulevya .
MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.
Kwa akili yako hii ya konokono na wewe unajigroup GT..!?Kichwa panz cjui kaandika nini? Hebu nenda fb tadadhali huku ni kwa ma GT only.
Wewe ni lofa wa mafikara. Ya Kubenea was an official system operation. Hii ni ya vipofu wawili ambao elimu zao zina mashaka wote japo kila mmoja kwa level yakeWana bodi:
Mnakumbuka yaliyomkuta kubenea yakumwagiwa tindikali?
Je vyombo vya habari vililiongeleaje lile tukio?
Je waliungana na kuwa kitu kimoja kama wanavyofanya Sasa?
Je kuna waziri yeyote alieunda tume yakulichunguza lile tukio?
Na je matokeo ya uchunguzi yalikuwaje?
Je kuna mwana ccm yeyote aliyeonyesha kuumia kama ilivyo Sasa?
Je kituo cha haki za binaadam walichukua hatua gani?
Hakuna vita ngum duniani kama vita ya madawa ya kulevya .
MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.
Wana bodi:

MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.[/QUOT nyie mmekatazwa na baba yenu msiingie kwenye mitandao ya kijamii eti kuna udaku, sasa bado mnasubiri nini humu? maoni yenu mkaandkie kwenye karatasi mtuletee tusome
Alivamiwa na Mkuu wa Mkoa na bunduki za Makirikiri , siku atavamia Radio na kutangaza yale ya RTLMC tuuuwane huyuWana bodi:
Mnakumbuka yaliyomkuta kubenea yakumwagiwa tindikali?
Je vyombo vya habari vililiongeleaje lile tukio?
Je waliungana na kuwa kitu kimoja kama wanavyofanya Sasa?
Je kuna waziri yeyote alieunda tume yakulichunguza lile tukio?
Na je matokeo ya uchunguzi yalikuwaje?
Je kuna mwana ccm yeyote aliyeonyesha kuumia kama ilivyo Sasa?
Je kituo cha haki za binaadam walichukua hatua gani?
Hakuna vita ngum duniani kama vita ya madawa ya kulevya .
MAGUFULI KAZA BABA NA ATAKAE INGIA ANGA ZAKO FANYA KAMA HUMJUI KABISA KWAKUMSHUGHULIKIA IPASAVYO.
Natamani nikujibu kila event moja moja,Wana bodi:

si keshapewa sianga, yeye anaingilia ya ninitatizo mnataka kutumia ishu ya madawa kama kichaka cha kuficha upumbavu wote.
Kwahiyo na kwenda clouds na jeshi plus silaha tusiongee kwakuwa ni mpigania madawa????