Unamilikiwa na CCM Mkuu......Rostam,Lowasa,CCM.Habarini ndugu zangu?
Naomba ufafanuzi juu ya huu mtandao wa vodacom kwangu hawajama wamekuwa kero kabisa! Naona huyu mmuliki wa mtandao huu anatakatuwe masikini na yawezekana hajui maisha ya watanzania au ametajirika sana anatakakupunguza idadi ya wateja. Sababu za kusema hivyo: moja vifurushi vyao gharama sana, pili huduma kwa wateja zinasumbua, la tatu ambalo ndiyo kiini cha yote ni kuongezwa kwa makato ya kutoa pesa kwenye simu kuongezeka kila mara bila hata taarifa. Labda wao wanalipa kodi tofauti na mitandao mingine? Jambo hili naona imesha kuwa kero.
Hawa jamaa ni shida Sana! Hawa nilishawatoka nimeshagundua ni akinachuma ulete.Kuna kampeni ilianzishwa humu ya kuhama voda, asilima zaidi ya 90 kati ya 100 walisema wanahama,
Voda haina tofauti na ccm, wote ni magamba.
Mtaongea weeee, mwisho mtachoka.
Shida wateja wangu vijijini wapo huu mtandao, nilishanyosha mikono kitambo Sana.Haujalazimishwa kuwa humo. Mitandao mingi Sana. Hama.
Mimi hata nikipigiwa simu kwa namba ya VODA SIIPOKEI.
Huo unaitwa ukoloni Mambo voda! ni shida Bora hata kodi ya kichwa.Kutoka bondeni huko ndio wamiliki waliko
Mi nimehama juzi kati naenjoy na tigo vifurushi vyao wapo vzr mb na dakika za kutosha mfano kwa elfu moja na mia tano ( 1500) unapata GB 2 dakika 150 tigo-tigo 15 tigo 1500 smsmitandao mingine. Halafu waaminifu ukiunga mb haziishi ka maji. Voda elfu mbili (2000 )unapata MB 515, dakika 180 voda - voda na 20 voda- mitandao mingine 200 smsHawa jamaa ni shida Sana! Hawa nilishawatoka nimeshagundua ni akinachuma ulete.
Unapataje vifurushi hivi? Nipe menu unayopata hivi vifurushi au ni baadhi ya lineMi nimehama juzi kati naenjoy na tigo vifurushi vyao wapo vzr mb na dakika za kutosha mfano kwa elfu moja na mia tano ( 1500) unapata GB 2 dakika 150 tigo-tigo 15 tigo 1500 smsmitandao mingine. Halafu waaminifu ukiunga mb haziishi ka maji. Voda elfu mbili (2000 )unapata MB 515, dakika 180 voda - voda na 20 voda- mitandao mingine 200 sms
Bado wanaiba sana dakika na mb ukiongea kidigo tu zimeisha!
N line za chuo, kuna jamaa wanapita mtaani wamevalia uniform za tigo ndo wanakusajilia kwa elfu 2 tu na 1500 kati ya hiyo elfu 2 wanakuingizia vocha kuifungua. Menu kama sijakosea n *147*00# unaenda zaizi yngUnapataje vifurushi hivi? Nipe menu unayopata hivi vifurushi au ni baadhi ya line
Kodi ya kichwa=musoro ya kichwaHuo unaitwa ukoloni Mambo voda! ni shida Bora hata kodi ya kichwa.