Hivi Mlimani City huwa hakuna mabinti single?

Hujui kutongoza huna hela wala swagger ndo maana kila dem anakukataa work on that
 
Wapi imeandikwa mke/mme anapatikana kanisani au ndio mlivokaririshwa huko kwenu
Inategemea na aina ya mke unayemtaka. Unweza pia kwenda club, bar au wanapojiuza utapata mke. Sio lazima nyumba ya ibada mkuu. Mimi nilidhan na wewe pia ni mcha Mungu ndo maana nikaelekeza uende kwenye nyumba za ibada kupata mke. Lakini sio lazima
 
mkuu huwa unaenda na ndinga au kwa mguu,kama unaenda kwa mguu kaa usawa wa lango la kutokea,then tafuta sehemu mtu amepaki gari ya maana ujidai umeiegemea huku unachezea simu yako,mashambulizi yote uanzie hapo lazma windo linase hapo.
 
Una hela? Kama huna hela mademu wote wana watu wao nawe utaishia kuwaita mashemeji. Ila kama una hela, mademu wote wametendwa na maboifrendi wao hivyo wanauguza maumivu ya moyo wanachohitaji ni ahadi yako tu kama nawe hautowaumiza.
Umeongea kweli sana ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…