Hivi mh. Mbowe umeturogea wapi wanaCHADEMA



Hili ndio Lengo la kufanya hii mikutano, na Lengo lingine ni kupata picha kwa ajili ya kuwaonyesha wafadhili wakuu(CDU) kuwa chama kiko active.
 

Kwa kuwa mmezoea kutusi wengine wanapoleta mawazo mazuri humu jamvini unadhani kuwa kuna mwana CDM atakaye kutusi. Wala usiogope. CDM tumekua, tukiangalia thread tu hivi, tayari tunaijua ilipotoka na nia ya hiyo thread ni nini. Mfano, nyie mbigili wa ccm mnadhani kuwa kitu pekee kitakacho tuchonganisha na uongozi wetu thabiti ni kudai ruzuku ya chama imeenda wapi. Hivi, tujiulize, yaani mnataka kutuaminisha kwamba ni CDM tu wanapokea ruzuku? Mbona kuna vyama fulani, tangu uchaguzi mkuu mpaka leo, hawajafanya hata mkutano mmoja wa hadhara hata wa kuwashukuru wapiga kura wao, hiyo ruzuku yao ipo benki au!! CDM mnasema ati sijui ni operation ya ngapi, mnasema ati zote hizo ni njia ya wakubwa kula hela ya ruzuku, Mnataka watu wakae maofisini au wajenge majengo yasiyosema? Tutazunguka mpaka pale kijijini kwako tumwamshe mzee aliyelala tumwambie kuna chama cha ukombozi nacho kinaitwa CDM. Tumwambie kimekuja kumkomboa kutoka mawazo yake mgando. Ajue chama sio CCM tuu.
Pamoja Kamanda Mbowe, mpaka masiisiieeym wachanganyikiwe kabisa.
 
Hahaaaa wadau hakna kiongozi yeyote wa chama cha siasa mwenye uchungu na WTZ.wote ni wanafiki wapo kipesa zaidi
 
mkuu sabodo alitoa milioni mia akawapa chadema ili wajenge visima vya maji hivi hizo pesa zilipolea wapi make hatujaona kisima hata kimoja kikichimbwa.

simiyu sio mia moja ni mia nne na hakuna chochote mjasiliamali dj mbowe na wenzie tayari wameisha zipiga tumbo kubwa
 

Acha upumbafff!! Kamuulize Mwigulu na kinana wamewalogea wapi.. Wanachama wa CDM wako nyuma ya Mwenyekiti na Makamanda wote
 
Wewe kwa taarifa yako umelogwa na CCM ambayo inapiga EPA lakini bado unakomaa nayo

Kams ni hivyo CCM ni wajanja, walipiga EPA ili kuhakikidha wanaingia vijijini kuimarisha chama ili kujihakikishia ushindi na wamefanikiwa. CDM iige mfano huo hiyo hela tumieni kuimarisha misingi badala ya kuwaneemesha wachache kwa mgongo wa operationi.
 

Hamjalogwa,wengi ni wale wa hewala bwana,mazuzu,wavuta bangi,wanywa viroba,waelewa mnawafukuza wanapohoji mambo muhimu ya chama.
 

Wewe ni mbulula tu wa Lumumba.
 

Ila watu kama hawa ni punguani sn,acha ujinga ww
 

Na bado wanaendelea kuish geto pale pale waalipopanga??
 
Acha Mbowe aongeze Jumba jingine nje ya Dubai bana! Go Mbowe Go....:
 
Acha Mbowe aongeze Jumba jingine nje ya Dubai bana! Go Mbowe Go....:

Pesa za nyumba za serikali mlupojiuzia mmefanya nini? Na mali za sukita yenu nani kala?....maana lulikuwa shirika la wanachama wote
 
Wote wanaotetea ubovu wa mbowe kawaroga kwa kuzika mbuzi watatu. Mkija kuzinduka yupo Dubai na viti maalumu wanakula burudani. Na nyie mapanya-gongo kwa kwenda mbele. Sijui hamnazo?
 
Umesema kweli, ila wenye mahaba nao utawasikia watakavyo KUTAPIKIA hapa.:mod:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…