Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
M4C Pamoja Daima...dadeki!Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
Wewe kwa taarifa yako umelogwa na CCM ambayo inapiga EPA lakini bado unakomaa nayoJuzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
Mkuu sabodo alitoa milioni mia akawapa chadema ili wajenge visima vya maji hivi hizo pesa zilipolea wapi make hatujaona kisima hata kimoja kikichimbwa.ha ha mtakoma si mlihoji ruzuku inafanya kazi gani ikifanya kazi mnalalamika eti wanajipa posho hiyo ndo chadema m4c pamoja daima mbele kwa mbele
Mkuu sabodo alitoa milioni mia akawapa chadema ili wajenge visima vya maji hivi hizo pesa zilipolea wapi make hatujaona kisima hata kimoja kikichimbwa.
Tangu nyerere azikwe, Hakuna msaliti CCM.Hoji uitwe msaliti! Kuna wakohoji hapo tena! Ukijifanya mbishi zaidi ana Ku-Chacha Wangwe.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
Kahoji ssssm tembo , magamba, chenji ya radaJuzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
Mbowe yupo kwenye mavuno wengine wanadhani anafanya siasa kumbe yupo na hesabu zake za kibiashara zikikamilika anajikata zake.
Umeambiwa M4C Pamoja Daima itagharimu karibu mia tisa million huku Ruzuku ambayo chama kinapata ni kama mia mbili kwa mwezi, kwa nini usiwapongeze viongozi wa chadema kuwa ni wabunifu wa kutafuta raslimali za kuendeshea chama ?Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.