Alafu kule vilema wapo ila wanaamini kuwa japo ni vilema ila bado wanaweza kuwa na mchango kwenye jamii,they have something to make a world a better place kwa watu wote kuishi,sasa huku kwetu mtu akishakuwa kilema ndio anakuwa kilema kweli kweli yaani hata umuwekee fungu la nyanya hapo awauzie hata wapita njia,aah wapi mwingine unakuta ni kilema nayeweza kufanya kitu kikubwa tuu kwenye jamii lakini ameshajiaminisha kuwa yeye ni kilema,ukisema sana utaambiwa unabeza vilema vya wenzio,hapana si kubeza ila kila mtu ana kipaji au kitu mungu amempa kiwasaidie wengine