moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,928 Apr 7, 2021 #1 Ukiangalia picha hii utaona kuna watu wenye mwonekano wa kibinadamu wakipuliza tarumbeta huku wakiwa na mabawa (wings) makubwa kwa pembeni. Swali ,je malaika hawa wana mabawa kama maandiko yasemavyo? Je bila hayo mabawa hawawezi kuruka ama kupaa hivyo kupoteza cheo cha malaika? Je kama mabawa kwa malaika yana kazi ya kupaa mbona YESU KRISTO aliweza kupaa kwenda kwa MUNGU baada ya kufufuka kaburini akiwa hana mabawa. Are the angels real have wings...???? Au ni portrayal language tu kuelezea uwezo wao wa kupaa kama ndege. Tujadili
Ukiangalia picha hii utaona kuna watu wenye mwonekano wa kibinadamu wakipuliza tarumbeta huku wakiwa na mabawa (wings) makubwa kwa pembeni. Swali ,je malaika hawa wana mabawa kama maandiko yasemavyo? Je bila hayo mabawa hawawezi kuruka ama kupaa hivyo kupoteza cheo cha malaika? Je kama mabawa kwa malaika yana kazi ya kupaa mbona YESU KRISTO aliweza kupaa kwenda kwa MUNGU baada ya kufufuka kaburini akiwa hana mabawa. Are the angels real have wings...???? Au ni portrayal language tu kuelezea uwezo wao wa kupaa kama ndege. Tujadili
Charles Gerald JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 1,405 Reaction score 1,845 Apr 7, 2021 #2 Kwani biblia inasemaje?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,070 Reaction score 43,516 Apr 7, 2021 #3 Kwa Imani ya Kiisilamu malaika ni viumbe wanao Tisha, wengine ni wakubwa kiasi kwamba dunia ni kama bacteria tu. Hata ki biblia hawapo hivyo kama wanavyochorwa. Kuna watu tu Na agenda zao wanawachora hivyo.
Kwa Imani ya Kiisilamu malaika ni viumbe wanao Tisha, wengine ni wakubwa kiasi kwamba dunia ni kama bacteria tu. Hata ki biblia hawapo hivyo kama wanavyochorwa. Kuna watu tu Na agenda zao wanawachora hivyo.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,275 Reaction score 123,712 Apr 7, 2021 #4 Kwa mujibu wa uislamu jibril ana pair 600 ya mabawa
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,073 Reaction score 16,390 Apr 8, 2021 #5 Kwenye Biblia kuna "masefari na wale wenye uhai wanne - wote hao imeelezwa wana mabawa. Ufunuo 4:8 Sasa sijui ndio malaika.
Kwenye Biblia kuna "masefari na wale wenye uhai wanne - wote hao imeelezwa wana mabawa. Ufunuo 4:8 Sasa sijui ndio malaika.
B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,358 Reaction score 4,406 Apr 8, 2021 #6 Kuna malaika humu? Muulize Mungu.
synthesizere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2019 Posts 882 Reaction score 1,265 Apr 8, 2021 #7 M kathias said: Kwenye Biblia kuna "masefari na wale wenye uhai wanne - wote hao imeelezwa wana mabawa. Ufunuo 4:8 Sasa sijui ndio malaika. Click to expand... Masefari ndo nini boss
M kathias said: Kwenye Biblia kuna "masefari na wale wenye uhai wanne - wote hao imeelezwa wana mabawa. Ufunuo 4:8 Sasa sijui ndio malaika. Click to expand... Masefari ndo nini boss
padlock JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 329 Reaction score 509 Apr 8, 2021 #8 Matatizo ya kukimbia Sunday school.
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Apr 8, 2021 #10 Chief-Mkwawa said: Kwa Imani ya Kiisilamu malaika ni viumbe wanao Tisha, wengine ni wakubwa kiasi kwamba dunia ni kama bacteria tu. Hata ki biblia hawapo hivyo kama wanavyochorwa. Kuna watu tu Na agenda zao wanawachora hivyo. Click to expand... Jesus is lord 😳😳
Chief-Mkwawa said: Kwa Imani ya Kiisilamu malaika ni viumbe wanao Tisha, wengine ni wakubwa kiasi kwamba dunia ni kama bacteria tu. Hata ki biblia hawapo hivyo kama wanavyochorwa. Kuna watu tu Na agenda zao wanawachora hivyo. Click to expand... Jesus is lord 😳😳
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Apr 8, 2021 #11 Eee😳😂😅 Scars said: Kwa mujibu wa uislamu jibril ana pair 600 ya mabawa Click to expand...
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,787 Reaction score 86,511 Apr 8, 2021 #12 Kama popo bawa analo wao watakosaje..?
Zohaan JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 269 Reaction score 277 Apr 8, 2021 #13 synthesizere said: Masefari ndo nini boss Click to expand... Species za malaika kuna Maserafi, makerubi
synthesizere said: Masefari ndo nini boss Click to expand... Species za malaika kuna Maserafi, makerubi
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,098 Reaction score 8,206 Apr 8, 2021 #14 Ngoja wenye kuelewa watusaidie.
Strictly Syrup JF-Expert Member Joined Aug 4, 2013 Posts 1,227 Reaction score 1,821 Apr 8, 2021 #15 Sijui kwa nini binadamu tuliamua kupotoshana kiasi hiki. Kwenye vitabu vya ibada wanakuchorea mzee mwenye ndevu nyingi nyeupe ndiyo Mungu, mara watoto wachanga wenye mabawa ni malaika, yaani wananifanya niamini kwamba haya mambo ni dhahania.
Sijui kwa nini binadamu tuliamua kupotoshana kiasi hiki. Kwenye vitabu vya ibada wanakuchorea mzee mwenye ndevu nyingi nyeupe ndiyo Mungu, mara watoto wachanga wenye mabawa ni malaika, yaani wananifanya niamini kwamba haya mambo ni dhahania.
Below 40 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 948 Reaction score 1,899 Apr 8, 2021 #16 Meanwhile in Heaven
Junior Lecturer JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 913 Reaction score 584 Apr 8, 2021 #17 Flying horse Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
alumn JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 2,370 Reaction score 3,165 Apr 8, 2021 #18 Malaika ni roho. Hawana umbile stationery ila wana we a badilika kua na umbile lolote
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,738 Reaction score 27,103 Apr 8, 2021 #19 Pichani sijaona mwafrika akipokelewa na Ni wa kuhesabu tofauti na ngozi nyeupe
moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,928 Apr 10, 2021 Thread starter #20 KENZY said: Kama popo bawa analo wao watakosaje..? Click to expand... Ha ha .