Hivi mahakama ya mafisadi ipo wapi?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Ninahitaji kuwa naenda mahakamani kusikiliza kesi mbalimbali zinazoshughurikiwa na mahakama ya mafisadi. Tatizo hata sijui ipo wapi. Anayejua ilipo naomba anipe direction plz.
 
Back
Top Bottom