Hivi mahabusu kukoje?

Uko sahihi, magereza ya Tanzania ni ya hovyo kabisa. Serikali ya CCM ipo kujilimbikizia mali tu, watu wakitoka hadharani kuwasema wanapewa kesi za uongo.

Hapo kwa Heche umegusa penyewe, kuna hotuba yake aliitoa nilivyo maliza kuisikiliza nikasema huyu mkurya ni balaa.
 
Vipi kuhusu rumande?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…