Wakuu, nina kawaida ya kununua umeme mara mbili kwa mwezi kwa jumla ya sh 20,000/= (10,000/= mara mbili).
Mwezi uliopita nilipata 'units' 25.2 ila leo nimepata 'units' 24.7 ninesituka kwani sijasikia umeme ukipanda, au nimepitwa na wakati?
View attachment 2686012View attachment 2686014