Wafuate kule kwenye uzi wao yawezekana ukapata jibu kwa muda muafakaWakuu, nina kawaida ya kununua umeme mara mbili kwa mwezi kwa jumla ya sh 20,000/= (10,000/= mara mbili).
Mwezi uliopita nilipata 'units' 25.2 ila leo nimepata 'units' 24.7 ninesituka kwani sijasikia umeme ukipanda, au nimepitwa na wakati?
View attachment 2686012View attachment 2686014
Wakuu, nina kawaida ya kununua umeme mara mbili kwa mwezi kwa jumla ya sh 20,000/= (10,000/= mara mbili).
Mwezi uliopita nilipata 'units' 25.2 ila leo nimepata 'units' 24.7 ninesituka kwani sijasikia umeme ukipanda, au nimepitwa na wakati?
View attachment 2686012View attachment 2686014
Itakuwa ndio umenunua kwa mara ya kwanza kwenye huu mwezi.Wakuu, nina kawaida ya kununua umeme mara mbili kwa mwezi kwa jumla ya sh 20,000/= (10,000/= mara mbili).
Mwezi uliopita nilipata 'units' 25.2 ila leo nimepata 'units' 24.7 ninesituka kwani sijasikia umeme ukipanda, au nimepitwa na wakati?
View attachment 2686012View attachment 2686014
Hilo nalifahamu sana mkuu ila leo nimepata jibu kuwa ukinunua kwenye baadhi ya mitandao/benki utapata maumivu kama haya.Itakuwa ndio umenunua kwa mara ya kwanza kwenye huu mwezi.
Kila mwezi huwa wanakata 1000 kama tozo ya pango.
Kwahiyo manunuzi yako ya kwanza ya umeme kwenye mwezi husika, huwa wanakata 1000.