Hivi Lipumba anafundisha wapi?

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,742
Natamani kujua Lipumba anafundisha wapi?
Anafundisha nini?
Wanafunzi wake wanamwelewa kweli?

Aliupataje Uprofesa?
Walompa walimzidi akili au akili zakezinafanana na zao?

Nina maswali mengi sana mwenye kujua anijuze.
 
Africa hamna maproff Kuna wazandiki tu wachumia tumboo

Ila tunae Katibu Mkuu msomi na Mwanasheria Msomi zaidi? Halafu mnaenda kupiga ramli kwa nini mnatimiza robo karne tangu muanze Siasa lakini hata theluthi moja ya Wabunge hamjafikisha!
 
Ha ha ha ha ha Google mkuu
Umjue kimataifa zaidi sio kilocal

Kusoma CV ya Profesa Lipumba na kuilewa vyema hasa Yale machapisho yake unapaswa walau uwe na Ki Master, sasa huyo Kigori na Ki Form four chake chenye rundo la vyeti ku re sit Mtihan ataelewa nini?
 
Lipumba ni mganga njaa tuu profesa gani mwenye akili anaweza kuhangaika Buguruni kuvunja makufuri ya milango na kuvamia ofisi kihuni?

Anatia doa ulimwengu wa wasomi na hata chuo alichosoma kinatiwa unajisi.
 
Atakua ni partime lecturer kwenye shule ya viziwi Buguruni ipo karibu na ofisi yake
 
Africa hamna maproff Kuna wazandiki tu wachumia tumboo
Ni kweli. professor ulaya akiwa wa kilimo anajikita kwenye kilimo, akiwa wa mifugo anajikita kwenye mifugo, NK. Ila huku unakimbilia kwenye siasa, NJAAAAAAAAAA.
 
Tusikatae ukweli kwamba darasani alikuwa vizuri hususani kwenye economics. Na hata kwenye research za world bank kuhusu Development economics na agriculture amezifanya sana na ni mtaalam sana kwenye development economics na agriculture. Nilibahatika kuona dissertation title yake ya master enzi zile akiwa UDSM.

Ila kwenye kufundisha kwa sasa hatakuwa active sana maana tangu aingie kwenye siasa nadhani hajawahi kuwa full time teacher wa chuo particularly hapa ndani ila naskia kuna washkaji walikuwa mbale yangu pale UDSM wanasema alifundisha kama topic moja kwenye Development economics.

Mara ya mwisho kumuona Lipumba akichambua uchumi publicly ilikuwa pale Nkrumah hall i think ilikuwa kati ya 2011 au 2012 ila sikumbuki vizuri ilikuwa kwenye Kigoda cha mwalimu na prof. Tibaijuka alikuwepo. Alitoa lecture nzuri kwa mtazamo wangu na kiasi nilimuelewa Lipumba ni mtu wa aina gani kwenye uchumi. A lot of facts na how mechanism zinatokea na kuhathiri economic variables, kitu ambacho wanauchumi wengi wanashindwa kukielezea.

Siku hiyo nakumbuka aligusia kuhusu commodity price change katika soko la dunia, kuna mahali alihusianisha na kuelezea bei ya mchele inavopanda na kushuka mpaka nikampigia saluti.

Kwa ufupi jamaa yupo vizuri sana, na najisikia sana vibaya mtu wa kariba yake anajiaibisha na kufanya folks wamshushe heshima. He is a very very great man and smart na anastahili heshima kubwa sana, sio mtu wa kustahili kutukanwa tukanwa hovyo. Sad
 
anafundisha buguruni mwanafunzi wake mage sakaya
 
Anafundisha cuf buguruni
 
Kusoma CV ya Profesa Lipumba na kuilewa vyema hasa Yale machapisho yake unapaswa walau uwe na Ki Master, sasa huyo Kigori na Ki Form four chake chenye rundo la vyeti ku re sit Mtihan ataelewa nini?

CV ya profisa hahahaha au ya Juma pumba maandazi???
 
hahhah watanzania ni watu wa ajabu kweli ..et mtu anatilia shaka elimu ya prof lipumba. wakati wewe hata form four imekusumbua. Tatio hamuelewi tofauti kati ya elimu na maarifa. Ukweli usemwe PROF NI MSOMI WA HALI YA JUU KATIKA FIELD YA ECONOMICS, uganda walimtumia sana. lakin nabii hakubaliki kwakua tangu yupo upinzani serikali haitona umuhimu wake. Tuongelee vitu vingine ila elimu yake hata baba ako na ukoo wenu na kizazi chenu wote mpaka mnakufa hamtofika level yake.
 
Jamani njaa mbaya sana, ukimuuliza sasa hivi atakujibu yupo sahihi 100%
 
Ni kweli. professor ulaya akiwa wa kilimo anajikita kwenye kilimo, akiwa wa mifugo anajikita kwenye mifugo, NK. Ila huku unakimbilia kwenye siasa, NJAAAAAAAAAA.

Lowassa Ana shahada ya Sanaa na Maigizo nae ungemshauri ajikite kwny Futuhi au Ze Commedy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…