Mwenye msimamo ndio mzuri
huyo nawe utaishi kwa akili maana unajua ukilikoroga hata kurudi
nyumbani unawaza utatanguliza mguu gani!
Kama hajisikii bora akwambie kuliko akupe huku anakulaani moyoni,kama
jamaa kasimamia kucha ni jukumu lako sasa kuhakikisha unamuambukiza
bidada mood ya game!