Hivi kweli mapenzi ya dhati yapo

Ukitaka kujitibu na tatizo la moyo wako tumia tunda liitwalo "Kiwi" au tumia strawberry mara kwa mara !! utapa ufumbuzi baaden.....!
 

tafuta wa geresha uzaenaye mtoto ili usiumizwe tena
 
Mapenzi ya dhati yapo usikate tamaa, omba mungu akupe anayekupenda na ambae ni sahihi kwako am sure utaenjoy. Pole kwa kutendwa siku zote mapenzi ndivo yalivo
Kuna watu wapo ili wawe daraja kwako kumfikia aliye sahihi
Relax, take time and fall in love again when ur ready, don fall ukiwa desperate coz u gonna make a wrong choice.
 

Asante kwa ushauri wako.
 
Asante. Ila c kosa langu kufikia hapa kwan ni mwaka wa tatu toka niachane second lover wangu. Nataman mtoto ila naogopa kuruhusu mahusiano tena.

Ninachokiamini mimi ni kwamba jinsi unavyokua na watu wengi toka yule mchumba wako wa kwanza ndio unakua na probability ndogo ya kupata akupendae kwa dhati..so move into z new rltnshp with lots of cautions.
 
Mapenzi ya dhati ndiyo yapi?
Anyway kwa jinsi ulivyojieleza hapo juu usipoufungua moyo wako na kulegeza akili yako itakucost sana maishani.
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…