ebu naomba tuchek ili jina fb charles da smart...yaani utashangaa kama nilivyoshangaaa...kha...pia naombe mmusaidie aiseeee....maana ilikuwa iv nimekuta text yake leo lakin ilitumwa toka tar3 inasema mambo....kabla sijajibu nka pita kwa profile yake...ebu pita na ww uone...maana mie nimeshindwa kumsoma....ni shoga kweli?ebu tumsaidien atoke umoooo

Allah awape ufahamu wa kuyaendelea mema,,..na alinde vizazi vyetu,,..sasa unamtangaza na kumuanika huku JF ili iweje?????? Si ungemuonya tu personal yaishe?????,,...kabla hujafikiria kutangaza aibu ya mwenzio fikiria kwanza aibu zako,,...!!
Kabla hatujaenda kuchuingulia profile ya huyo mtu, labda nikuulize maswali haya ya kipuuzi
- Ulimfahamu vipi?
- Ilikuwaje akakutext wewe?
- Wewe unafikiria wawezaje kumsaidia kama anajitangaza kiasi hicho?
Kwa mtazamo wangu. naona ni vyema sasa kupunguza kujadili mambo kama haya, maana kwa sehemu pia ni kama yanapromote hizo tabia
ni jema ukasoma kitu ukaelewa kuliko kuhukumu akuna aliyetangaza biashara hapo...kama unakielewa kiswahili sanifu na ni mtanzania mzalendo utatoa maelezo sahihi,,na sio ayokuna jukwaa la matangazo? Ni wale wale tu mnaosababisha Mungu anaitupia dunia kisogo kwa sababu ya upuuzi wenu!
ungemjibu kule kule alikokutumia sms na kwanini akutumie wewe? Unatuthibitishia vipi kuwa wewe siye huyo mpuuzi na kwamba hapa umekuja kutanua wigo wa biashara yako? There inafter km siye au ndiye na kwamba ndilo kundi alilochagua/ulilochagua then unataka ashauriwe kufanya nini...let him do it!