Hivi kwanini?

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,444
Reaction score
139,344
Kwanini huwezi kuona/kusikia gari Kama BMW X5,L.CRUISER V8 au Mercedes Benz S class inapita huku imefunguliwa mziki kwa sauti ya juu sana!?

Ila hio ni kawaida kwa vigari kama vits,passo,starlet au noah,altezza?! Ina maana wamiliki wa vigari hivi ndio wapenda muziki Sana au wamiliki wake wengi ni malimbukeni?!
 
Hapa nimekaa sehemu kulikuwa so peaceful and quiet lakini kaingia MTU na ki ist chake huo muziki amani yote imetoweka!
 
Hapa nimekaa sehemu kulikuwa so peaceful and quiet lakini kaingia MTU na ki ist chake huo muziki amani yote imetoweka!

Hayo uliyotaja mkuu yakiingia mahali lazima ujue kwa mwonekano na ukubwa wake

Hivi vibaby walker ili kupata attention lazima waweke mamuziki makubwa ili navyo vionekane. Altezza inajulikana ni gari za vijana hasa wanaoanza maisha.....hujagusia muffler zake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…