mhm hapo mie nawadefend wanawake. unajua wanaume wengi wanakuwa wanawapa matumaini wanawake kuwa watawoa au kutakuwa na future huko mbeleni. sasa unakuta dada wa watu kainvest emotionaly, financially na energy just in the hope kuwa siku atakuwa mrs alafu wewe unaenda kuoa demu mwengine.
pia naelewa sana kuwa dada zetu ni wagumu sana kupanua miguu pale mwanaume anapo anapo kuwa mkweli kuhusu suala ka kutaka utamu tuu na kupoteza muda without serious commitment in the future. however, hiyo haimaanishi kuwa uumpe hope mwanamke ambazo hazipo.
hii nilishaona inawatokea wanaume wengi na sie wanaume tunashindwa kuelewa jambo moja; kweli mwanamke hawezi kukulazimisha wewe kumuoa ila sasa anaweza kukufanyia vituko ambavyo vitakukosesha raha kambisa kwenye hiyo ndoa yako na huyo mwanamke mwengine. tuwe makini na hawa dada zetu....kweli tunapenda K basi atleast tuwe wakweli kama hatunashida ya kuwaoa....or just nenda pale kona bar ujipate wakumgegeda umalize haja zako na sio kuwapa hope ambazo hazipo