Hivi kwanini wanawake wakiachwa wanakuwa na visasi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini wanawake wakiachwa wanakuwa na visasi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rukwa21, Oct 24, 2012.

 1. R

  Rukwa21 Senior Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndugu wanajamiiforum Salaam Aleikum, Bwana Yesu sifiwe. Nimeona hili jambo ilitokea mimi niliachwa na mwanamke iliniuma lakini sikuwa na kinyongo chochote nikapotezea. Lakini hivi karibuni mshikaji wangu alimwacha demu wake akaenda kuoa demu mwingine. Sasa wakati wa hiyo process ya hadi kufunga ndoa yule demu wake wa zamani amekuwa mtu wa chuki na visasi. Je wanajamii mna experience yoyote kuhusu ili swala?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  mmmh, ngoja acha acha waje
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mwanangu Rukwa21 nilidhani unajua unachoongelea. Kumbe 'utafiti' wenyewe ni kwa wanawake wawili? Je na wanaume huwaje wakiachwa?
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,396
  Likes Received: 1,035
  Trophy Points: 280
  Rukwa21 sidhani kama wanwake tu ndo wenye visasi kwenye hili. unayobahati kwamba ulipoachwa ulichukulia poa la wapo wanaume wenine ambao wataweka kinyongo na kuanza kusema vby, kumdhalilisha sababu tu demu kampiga chini. like wise wanawake baadhi wako hivyo sio to me its 50/50
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. R

  Rukwa21 Senior Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sijafanya utafit mkubwa lakini nimeona rafiki yangu mmoja wakati tunaishi ughaibuni miaka mingi nyuma ilimtokea kidogo awe deported na huyu mshikaji wangu hivi karibuni na pia mshikaji wangu mwingine aliachwa na demu akapotezea hakuwa na kisasi. Mimi mwenyewe huyu demu alieniacha alikuwa na chuki na mimi pia. Nikujibu swali lako ndio maana nimewauliza wanajamii wakishatoa experience zao ndio tutaconclude mkuu
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,227
  Likes Received: 7,805
  Trophy Points: 280
  Chuki na kisasi are directly propopotion to VILATED TRUST, INVESTMET, GOING CONCERN. Kama mtu alikutrust sanaaa chuki hapo ndo haitopimika, kama mtu aliinvest sanaa kwako, full kumlia vyake afu usepe hivi hivi haiwezekani! Kama mtu alijiwekea kuwa atakuwepo kwenye FUTURE YAKO kumuondoa kirahisi rahisi si rahis. Ila kama hamkuwa na commitment mbona tambarareeeee! Hata mkikutana in the future hata mechi za ugenini mnagonga kama kawaida, kukumbushia!!! Old is gold! lol!
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,971
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  mhm hapo mie nawadefend wanawake. unajua wanaume wengi wanakuwa wanawapa matumaini wanawake kuwa watawoa au kutakuwa na future huko mbeleni. sasa unakuta dada wa watu kainvest emotionaly, financially na energy just in the hope kuwa siku atakuwa mrs alafu wewe unaenda kuoa demu mwengine.

  pia naelewa sana kuwa dada zetu ni wagumu sana kupanua miguu pale mwanaume anapo anapo kuwa mkweli kuhusu suala ka kutaka utamu tuu na kupoteza muda without serious commitment in the future. however, hiyo haimaanishi kuwa uumpe hope mwanamke ambazo hazipo.

  hii nilishaona inawatokea wanaume wengi na sie wanaume tunashindwa kuelewa jambo moja; kweli mwanamke hawezi kukulazimisha wewe kumuoa ila sasa anaweza kukufanyia vituko ambavyo vitakukosesha raha kambisa kwenye hiyo ndoa yako na huyo mwanamke mwengine. tuwe makini na hawa dada zetu....kweli tunapenda K basi atleast tuwe wakweli kama hatunashida ya kuwaoa....or just nenda pale kona bar ujipate wakumgegeda umalize haja zako na sio kuwapa hope ambazo hazipo
   
 8. N

  Natalia JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,511
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nilimpigaga kaka mmoja kibuti bwana,nilimwambia nimekutana na muzungu na nikamwita dinner nikamwambia I was not attracted to him na akitaka Demu nitamtafutia.Hee mkaka alifika huyo alilia mkaka wa watu .basi akaanza kunistalk Mara akaanza kuweka pancha gari langu Mara anapiga simu Mara 8 kwa siku nikaanza kuona inakuwa hatari.haya akaanza kuendesha gari nyuma yangu eeh huyo ni mtanzania wa kwanza na wamwisho kudate.kumbe alikuwa hack my blackberry anajua kote ninakokwenda na simu zote anasikiliza .hee siku hiyo akaenda ofisini kwa mume wangu huyu muzungu.alichanganyikiwa akaanza kumtishia mzungu wangu Wewe chezea.nikaita 911 police wakaja wakamtoa.nikachukua restraining order mkaka hakusikia aka hack my Facebook email yaani ilikuwa checheli.huu mwaka wa 12 huyo Mkaka haja move on kutwaa kuniulizia kwa watu .mimi nimeolewa Nina mume na watoto .hilo likaka wanawake Wanambabaikia he is sick . AnaPigaga simu mpaka Leo ofisini kwa mume wangu wazazi wangu.so people are sick and clingy be careful
   
 9. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,138
  Likes Received: 915
  Trophy Points: 280
  Natalia miaka 12 nyuma kulikuwa na facebook ? Navyojua imeanzishwa february 2004
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  uhuhuuuu na blackbery za lini mkuu?
   
 11. J

  John W. Mlacha Verified User

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Njia ya mwongo ni fupi..... Kakosea kudanganya na ukiamua kuwa mwongo kuwa makini kwani kuumbuka ni sekunde tu we ngoja atakuja na blah bla hapa ooo tulianzaga zamano oo alihack fb baada ya fb kuingi hahahahha.....
   
 12. J

  John W. Mlacha Verified User

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Hujambo Smile?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  sijambo baby!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,406
  Likes Received: 28,210
  Trophy Points: 280
  Nafurahi kusikia hivyo
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  hujambo wewe mzee wa pori
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,406
  Likes Received: 28,210
  Trophy Points: 280
  sijambo baby
   
 17. Rapha

  Rapha Tanzanite Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Hii hadith nzuri..
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni Kweli gfsonwin kikubwa ninachokiona hapa ni hasira haswa pale anayeachwa akiwa bado anapenda lakini ukiona visasi havipo basi ujuwe walishachokana wote.

  Out of topic: Hongera kwa kuyafanyia kazi maombi yangu- roho kwatuuuuuuuu...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. J

  John W. Mlacha Verified User

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  yalaaaaaaaaaaa!!!
   
 20. R

  Rukwa21 Senior Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unachoongea kina ukweli ndani yake, hii experience nimeiona Lara
   
Loading...