Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,260
- 12,611
Dah wakuu, sasa hivi hapa nilikuwa natembea tembea, mara ghafla nyumba jirani nasikia watu wazima wanalia kama watoto.
Haina hata haja ya kuuliza unajua tu nini kimetokea, Hivi kwanini tunakufa?
Yani unazaliwa ili ufe?
Mungu kwanini asingeweka hata alternative jamani? Mimi wazazi wote wapo ila huwa nawaza sana zamu yangu kuwalilia!
Kama sio mimi kuwalilia wao basi wao watanililia mimi, ila kulia haikwepeki.
Nini maana yake? Kwanini lakini?Aaaarghhhhhh Aaaaaaaaarggggh
This is not fair aise!