Hivi kwanini sipendi?

unamaanisha kwamba hakuna uaminifu ndan ya mahusiano totaly is that what you mean?

Mapenzi na uaminifu ni tofauti kbs mkuu!

Kani hujawahi sikia mtu hageuki kwa CD (Changu) wengine mpaka wanawaoa na wakijua kazi yao kbs....
 
I mean una hofu ya kuachwa


hapana dada white cna hofu juu ya hilo defensive mechanism nilojiwekea ni kwmb all are passing wind kama ikitokea nimeachwa bac ntaumia muda mfupi then recovery na naamini pia kila kinachotokea has an implication in my life
 
Mapenzi na uaminifu ni tofauti kbs mkuu!

Kani hujawahi sikia mtu hageuki kwa CD (Changu) wengine mpaka wanawaoa na wakijua kazi yao kbs....

sawa nikupata hapo mkuu
 
Iit's all about experience....kuna watu wanakutana na mambo ya ajabu kwenye mapenzi...na kuna wengine wanateleza tu mpaka mwisho..lakin we tend to generalize...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…