Inawezekana mpenzi wako wewe ni mtu mwema sana, kiasi kwamba unadhani wanawake wote ni wema hivyo, labda kwa vile hujawahi kukutana na maurumbembe mgando.... Hivyo kila wakisemwa basi we unahisi anayesemwa ni mpenzi wako. Kimsingi hakuna apendaye mpenzi wake asemweJamani mwenzenu nasumbuliwa sana na hii tabia; Kila ninapokuwa na jamaa zangu tukizungumzia masuala ya mahusiano huwa tunazungumza mengi sana kuhusu wanawake lakin wakishaanza tu kuzungumza kuwa wanawake ni wasaliti, wanapenda pesa zaid kuliko mapenz ya kwel na pia lazma agegedwe na watu wengi nje ya mpenz wake, ndpo hujikuta nikibisha na kuwatetea vikali mpaka tunataka kupgana na mwisho nimejkuta nawachukia san jamaa zang kwa wanachokisema, naomben mawazo yenu juu ya hili ili nicje umizwa baadae na wapenz wng. nawaclisha
Inawezekana mpenzi wako wewe ni mtu mwema sana, kiasi kwamba unadhani wanawake wote ni wema hivyo, labda kwa vile hujawahi kukutana na maurumbembe mgando.... Hivyo kila wakisemwa basi we unahisi anayesemwa ni mpenzi wako. Kimsingi hakuna apendaye mpenzi wakel asemwe
Jamani mwenzenu nasumbuliwa sana na hii tabia; Kila ninapokuwa na jamaa zangu tukizungumzia masuala ya mahusiano huwa tunazungumza mengi sana kuhusu wanawake lakin wakishaanza tu kuzungumza kuwa wanawake ni wasaliti, wanapenda pesa zaid kuliko mapenz ya kwel na pia lazma agegedwe na watu wengi nje ya mpenz wake, ndpo hujikuta nikibisha na kuwatetea vikali mpaka tunataka kupgana na mwisho nimejkuta nawachukia san jamaa zang kwa wanachokisema, naomben mawazo yenu juu ya hili ili nicje umizwa baadae na wapenz wng. nawaclisha
naomben mawazo yenu juu ya hili ili nicje umizwa baadae na wapenz wng. nawaclisha
una wapenzi wangapi unaoogopa watakuumiza.............,
afu kama una hako katatizo mbona hum JF ungekuwa umegombana
na wengi sana.......,
Sio wanawake wote wana tabia mbaya wapo wenye kujielewa na hekima
Mbona wanawake waaminifu wapo, tena kwakuongezea wapo mpaka wanaojuni kupenda na kumthamini aliyenae.
Ila tukiongelea kwenye swala la usaliti sidhani kwamba wanawake pekee ndio wasaliti pia kuna wanaume wasaliti na wasiojua nini maana ya mapenzi. Japo pia wako wale wenye kujua nini maana ya mapenzi.
CALMAN chamsingi mpende mwenzako kwa kadiri ya uwezo wako na wala usigombane na rafikizo kisa ya mada. Ukiona dalili za kugombana na rafikizo kisa ya hiyo mada ni bora ukawa mpole na kuondoka na kuwaacha.
Husigombane na rafiki zako kisa mapenzi. Kila mtu kaumbwa na hulka yake. Hivyo omba Mungu akupe mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.
Husigombane na rafiki zako kisa mapenzi. Kila mtu kaumbwa na hulka yake. Hivyo omba Mungu akupe mpenzi mwenye mapenzi ya kweli.
Jamani mwenzenu nasumbuliwa sana na hii tabia; Kila ninapokuwa na jamaa zangu tukizungumzia masuala ya mahusiano huwa tunazungumza mengi sana kuhusu wanawake lakin wakishaanza tu kuzungumza kuwa wanawake ni wasaliti, wanapenda pesa zaid kuliko mapenz ya kwel na pia lazma agegedwe na watu wengi nje ya mpenz wake, ndpo hujikuta nikibisha na kuwatetea vikali mpaka tunataka kupgana na mwisho nimejkuta nawachukia san jamaa zang kwa wanachokisema, naomben mawazo yenu juu ya hili ili nicje umizwa baadae na wapenz wng. nawaclisha
Hakuna mpenzi mwema (mwanamke/mwanaume)
Muhimu ni kuwa ukimpenda mtu mpenda kwa moyo/nguvu na akili zote mpaka mapenzi yatakapoisha, na yakiisha mwambie ukweli kila mtu ashike hamsini zake.
Siku ukipata mpenzi tu, basi haraka njoo hapa tukushauri...la sivyo na sisi tutakuumiza tu hapa kwa mishauri lukuki wakati hata hao wanawake huna experience nao...
We unamuogopa mpenzi wako dats why?
++
Usikatae mapito ya wengine ikiwa wewe Mola kakupa njia nyoofu.
++
Duuuh nimuogope mpenz wng niliyeenda mbele yake nikaconfess akanielewa na ananifahamu kuwa namsimamo zaid ya M23