Such as population density. Ila acha nipite kimya kimya, mleta mada amesema mwenyewe kwamba amejitosheleza kwenye umbumbumbu wake na hana hamu ya kuelimishwa. Huu ni uzi wa wale ambao wataunga mkono hojaless yake.Demographics play a big role. Kwani ulisomea wajinga primary school?
Hahaha pingili nywee kunamtu anakushika nyara ya serikali uku njoo utheme naye.
Ndio nataka kujua hiyo demographics played when? Obviously wakati wa mkoloni mlikua very few and am suspicious those boundaries established by colonial masters, sasa mlivyopata uhuru akili hamkua nayo? Kenyatta alikua busy kuangalia ni fertile land ipi imenona aigrab akaacha kuondoa hii messDemographics play a big role. Kwani ulisomea wajinga primary school?
What costs you guys much is government expenditures yaani you collect too much but development budgets are soo tiny, the huge amount is going to service these useless tiny countiesStop using your head just to carry teeth.think brother.
The borders are based mostly on population and communities living there.
Also KE population is not uniformly distributed across the country, most of the country is semi arid and therefore very low population density in the dry areas and high density in the arable areas and near urban centers..So in the high density areas the administrative areas are smaller, so as to have fair representation politically and for easier administration and management.
With high level ofYour thinking capacity is wanting. The blue prints of kenya were well crafted with people who have more brains than you na ndio maana we kenya inaongoza biashara in east Africa controlling over 70% of goods and people coming in and out, alafu kenya no ya capitalists, ukizembea utakufa maskini, kazi ya serekali sio kupea watu pesa, na ndio unapata Kenya ni lower middle income imezungukwa na LDCs. An average kenyan is way richer and wiser than an average Tanzanian 55% of kenyans are lower middle income citizens. Tz bado mko nyuma sana, hata ukivuka mpaka uingie Kenya you'll just feel the difference ju Tz inje ya Dar ni umaskini mtupu, all the wealthy folks come from dar while in kenya Nairobi isnt even the richest county.
Sent using Jamii Forums mobile app
52% ya revenue yao inatumika kwa kulipatana mishahara pekee, wafanyakazi wa serikali ni 2% ya population, yaani 52% ya mapato ya nchi nzima yanafaidisha only 2% ya watu.What costs you guys much is government expenditures yaani you collect too much but development budgets are soo tiny, the huge amount is going to service these useless tiny counties
Elections, salaries, maintenance and other useless costs are spreaded in little counties in which if they could have been united lots of money will be saved, Tanzania inakusanya pesa kidogo lakini everyone sees where the money is going
Worst ever is your leaders spending breathtaking amount of money from low level leader to the top, wabunge wenu wapo na privileges kubwa sawa na prime minister wetu.
Acha kusingizia vitu vya kijinga wewe
Yaaan we Jamaa ni bonge la boyaaaaa unadiriki kusema Nairobi sio kaunti tajiri ? Una uhakika ? Yaan metropolitan city kama Nairobi unafikiri mapato yake ni sawa na kaunti ya mandera ? Kwa hili ata mtoto wa form 1 hojq yqko anaipinga ....lastly... Ww hujatembea Tz usiseme eti ukitoa dsm miji mingine ni maskini ....achaaa kbs we huijui geographia ya hii inchi unless unasoma kupitia makaratas bac bado unatakiwa ugoogle zaidi ujue miji mingine ipojeYour thinking capacity is wanting. The blue prints of kenya were well crafted with people who have more brains than you na ndio maana we kenya inaongoza biashara in east Africa controlling over 70% of goods and people coming in and out, alafu kenya no ya capitalists, ukizembea utakufa maskini, kazi ya serekali sio kupea watu pesa, na ndio unapata Kenya ni lower middle income imezungukwa na LDCs. An average kenyan is way richer and wiser than an average Tanzanian 55% of kenyans are lower middle income citizens. Tz bado mko nyuma sana, hata ukivuka mpaka uingie Kenya you'll just feel the difference ju Tz inje ya Dar ni umaskini mtupu, all the wealthy folks come from dar while in kenya Nairobi isnt even the richest county.
Sent using Jamii Forums mobile app
and each of the 52 states has its own counties. Hii county system inadevelop many place. Small useless towns zinakuwa county capitals. Na ni easier developing these small units, countiesHahahahaha USA with population of 300M, and GDP of $18 trl, it has only 52 States/Counties. Kenya with population of 45M, encroached with poverty, with GDP of $70B, out of which 62% is owned by only 10,000 citizens, it has 47 counties. Failed state indeed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi Tayari mnalalamika kwamba "punda amechoka", mzigo umekua mkubwa mnataka kubadilisha tena constitution ili kupunguza matumizi ya serikali, wasomi kama Prof. Lumumba na Dr.Ndii wamesema huu mfumo haufai kwa nchi masikini kwasababu ni ghali sana, ila watu poyoyo kama ninyi mnatetea kwasababu tu serikali ni wakikuyu na Kalenjin.and each of the 52 states has its own counties. Hii county system inadevelop many place. Small useless towns zinakuwa county capitals. Na ni easier developing these small units, counties
Yaaan we Jamaa ni bonge la boyaaaaa unadiriki kusema Nairobi sio kaunti tajiri ? Una uhakika ? Yaan metropolitan city kama Nairobi unafikiri mapato yake ni sawa na kaunti ya mandera ? Kwa hili ata mtoto wa form 1 hojq yqko anaipinga ....lastly... Ww hujatembea Tz usiseme eti ukitoa dsm miji mingine ni maskini ....achaaa kbs we huijui geographia ya hii inchi unless unasoma kupitia makaratas bac bado unatakiwa ugoogle zaidi ujue miji mingine ipoje
Acha kukariri ujinga. Ngoja nikuelimishe kidogo. USA counties sio 52, hizo ni states. Kuna tofauti kubwa kati ya counties na states. Kenya ni state kama k.m. California ambayo ina county 58!Hahahahaha USA with population of 300M, and GDP of $18 trl, it has only 52 States/Counties. Kenya with population of 45M, encroached with poverty, with GDP of $70B, out of which 62% is owned by only 10,000 citizens, it has 47 counties. Failed state indeed.
Sent using Jamii Forums mobile app