Hivi kwanini Kenya ipo hivi?

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,880
Ukiangalia Kenya map by counties utaona slums around Kenya zilianzia kwenye akili ya mchora ramani yao, sababu haiwezekani counties nyingine zikawa ndogo kiasi kama kamtaa fulani hivi na counties nyingine kuuuubwa sana

Nafikiria ni vigezo vipi vilizingatiwa kuweka mipaka ya kipumbavu kiasi hiki, je ni boundaries za wakoloni au wenyewe wakenya?

All in all they look ugly

20190415_212603png.png
images (5).jpeg
 
Wakenya msio na akili najua mtakuja kuachia povu hapa lakini mjue tu kutokana na utitiri wa vijicounties vidogo lazima kuwe na unequal distribution of central government resources na pia ni wastage of resources kuhudumia vijicounties vidogo vidogo wakati ungeweka viunganisha ikawa County moja

Kwenye kila county lazima kuwe na assemblies, administration buildings, civil servants and other loads of expenses ambazo ni hopeless kwa hivyo vijicounties vilivyosongamana kama chawa.
 
Stop using your head just to carry teeth.think brother.
The borders are based mostly on population and communities living there.
Also KE population is not uniformly distributed across the country, most of the country is semi arid and therefore very low population density in the dry areas and high density in the arable areas and near urban centers..So in the high density areas the administrative areas are smaller, so as to have fair representation politically and for easier administration and management.
 
Your thinking capacity is wanting. The blue prints of kenya were well crafted with people who have more brains than you na ndio maana we kenya inaongoza biashara in east Africa controlling over 70% of goods and people coming in and out, alafu kenya no ya capitalists, ukizembea utakufa maskini, kazi ya serekali sio kupea watu pesa, na ndio unapata Kenya ni lower middle income imezungukwa na LDCs. An average kenyan is way richer and wiser than an average Tanzanian 55% of kenyans are lower middle income citizens. Tz bado mko nyuma sana, hata ukivuka mpaka uingie Kenya you'll just feel the difference ju Tz inje ya Dar ni umaskini mtupu, all the wealthy folks come from dar while in kenya Nairobi isnt even the richest county.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demographics play a big role. Kwani ulisomea wajinga primary school?
Ndio nataka kujua hiyo demographics played when? Obviously wakati wa mkoloni mlikua very few and am suspicious those boundaries established by colonial masters, sasa mlivyopata uhuru akili hamkua nayo? Kenyatta alikua busy kuangalia ni fertile land ipi imenona aigrab akaacha kuondoa hii mess
 
Stop using your head just to carry teeth.think brother.
The borders are based mostly on population and communities living there.
Also KE population is not uniformly distributed across the country, most of the country is semi arid and therefore very low population density in the dry areas and high density in the arable areas and near urban centers..So in the high density areas the administrative areas are smaller, so as to have fair representation politically and for easier administration and management.
What costs you guys much is government expenditures yaani you collect too much but development budgets are soo tiny, the huge amount is going to service these useless tiny counties

Elections, salaries, maintenance and other useless costs are spreaded in little counties in which if they could have been united lots of money will be saved, Tanzania inakusanya pesa kidogo lakini everyone sees where the money is going

Worst ever is your leaders spending breathtaking amount of money from low level leader to the top, wabunge wenu wapo na privileges kubwa sawa na prime minister wetu.

Acha kusingizia vitu vya kijinga wewe
 
Your thinking capacity is wanting. The blue prints of kenya were well crafted with people who have more brains than you na ndio maana we kenya inaongoza biashara in east Africa controlling over 70% of goods and people coming in and out, alafu kenya no ya capitalists, ukizembea utakufa maskini, kazi ya serekali sio kupea watu pesa, na ndio unapata Kenya ni lower middle income imezungukwa na LDCs. An average kenyan is way richer and wiser than an average Tanzanian 55% of kenyans are lower middle income citizens. Tz bado mko nyuma sana, hata ukivuka mpaka uingie Kenya you'll just feel the difference ju Tz inje ya Dar ni umaskini mtupu, all the wealthy folks come from dar while in kenya Nairobi isnt even the richest county.

Sent using Jamii Forums mobile app
With high level of
1)Unemployment
2)Hunger/ people are dying of hunger daily
3)Slums
4)Poor public health services
5)poor self water distribution/Cholera outbreaks year in year out
6)very poor security/leader in police killings
7)Ruthless Economy/10,000 control 62% of economy
8)High level of corruption, tribalism and impunity
9) High ratio of debts to GDP
10)High ratio of Exports to Imports

How can a country which its economy is 80% Agricultural but can't feed itself?. That is a Failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What costs you guys much is government expenditures yaani you collect too much but development budgets are soo tiny, the huge amount is going to service these useless tiny counties

Elections, salaries, maintenance and other useless costs are spreaded in little counties in which if they could have been united lots of money will be saved, Tanzania inakusanya pesa kidogo lakini everyone sees where the money is going

Worst ever is your leaders spending breathtaking amount of money from low level leader to the top, wabunge wenu wapo na privileges kubwa sawa na prime minister wetu.

Acha kusingizia vitu vya kijinga wewe
52% ya revenue yao inatumika kwa kulipatana mishahara pekee, wafanyakazi wa serikali ni 2% ya population, yaani 52% ya mapato ya nchi nzima yanafaidisha only 2% ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your thinking capacity is wanting. The blue prints of kenya were well crafted with people who have more brains than you na ndio maana we kenya inaongoza biashara in east Africa controlling over 70% of goods and people coming in and out, alafu kenya no ya capitalists, ukizembea utakufa maskini, kazi ya serekali sio kupea watu pesa, na ndio unapata Kenya ni lower middle income imezungukwa na LDCs. An average kenyan is way richer and wiser than an average Tanzanian 55% of kenyans are lower middle income citizens. Tz bado mko nyuma sana, hata ukivuka mpaka uingie Kenya you'll just feel the difference ju Tz inje ya Dar ni umaskini mtupu, all the wealthy folks come from dar while in kenya Nairobi isnt even the richest county.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaan we Jamaa ni bonge la boyaaaaa unadiriki kusema Nairobi sio kaunti tajiri ? Una uhakika ? Yaan metropolitan city kama Nairobi unafikiri mapato yake ni sawa na kaunti ya mandera ? Kwa hili ata mtoto wa form 1 hojq yqko anaipinga ....lastly... Ww hujatembea Tz usiseme eti ukitoa dsm miji mingine ni maskini ....achaaa kbs we huijui geographia ya hii inchi unless unasoma kupitia makaratas bac bado unatakiwa ugoogle zaidi ujue miji mingine ipoje
 
Hahahahaha USA with population of 300M, and GDP of $18 trl, it has only 52 States/Counties. Kenya with population of 45M, encroached with poverty, with GDP of $70B, out of which 62% is owned by only 10,000 citizens, it has 47 counties. Failed state indeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
and each of the 52 states has its own counties. Hii county system inadevelop many place. Small useless towns zinakuwa county capitals. Na ni easier developing these small units, counties
 
Sasa hivi Tayari mnalalamika kwamba "punda amechoka", mzigo umekua mkubwa mnataka kubadilisha tena constitution ili kupunguza matumizi ya serikali, wasomi kama Prof. Lumumba na Dr.Ndii wamesema huu mfumo haufai kwa nchi masikini kwasababu ni ghali sana, ila watu poyoyo kama ninyi mnatetea kwasababu tu serikali ni wakikuyu na Kalenjin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi is not the richest county my friend.
Yaaan we Jamaa ni bonge la boyaaaaa unadiriki kusema Nairobi sio kaunti tajiri ? Una uhakika ? Yaan metropolitan city kama Nairobi unafikiri mapato yake ni sawa na kaunti ya mandera ? Kwa hili ata mtoto wa form 1 hojq yqko anaipinga ....lastly... Ww hujatembea Tz usiseme eti ukitoa dsm miji mingine ni maskini ....achaaa kbs we huijui geographia ya hii inchi unless unasoma kupitia makaratas bac bado unatakiwa ugoogle zaidi ujue miji mingine ipoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha USA with population of 300M, and GDP of $18 trl, it has only 52 States/Counties. Kenya with population of 45M, encroached with poverty, with GDP of $70B, out of which 62% is owned by only 10,000 citizens, it has 47 counties. Failed state indeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri ujinga. Ngoja nikuelimishe kidogo. USA counties sio 52, hizo ni states. Kuna tofauti kubwa kati ya counties na states. Kenya ni state kama k.m. California ambayo ina county 58!
California-River-Map-County-Map-Of-California-State-California-River-Map-California-State-Map-With-Counties.jpg
Alafu naona umesema GDP ya Kenya ni $70Billion ilhali unajua vizuri kwamba Kenya ilishafikia $99Billion na hata hiyo $70B Tz bado. Ila sijaelewa mbona umetumia GDP wakati kwenye ule uzi wa GDP ulisema kwamba GDP haimaanishi chochote.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom