Hivi kwanini hizi hisia zinaniumiza hivi wakuu

ongea nae kwa upole mtafute suluhu,kama ni kazi mtafute wote nyengine,vunja ukimya hii kupeana cold shoulders haisaidii tafuta siku na mahali pazuri uongee naye yote yanayokusibu,ukijidai unamtishia au unamnunia ndivyo swala litakuwa zito zaidi,mmeshaambiwa ishini na sisi wanawake kwa akili ndio kama hivi...pole mkuu

ninakusukuru sana dada hata hivyo nimetumia akili nauvumilivu maana sijachukua hatua yoyote yaidi ya kuomba ushauri na tayari mishapata kumbe natakiwa kuvunja ukimya nakushukuru sana
 
Haya mapenzi yameniwia magum naumizwa hisia ninavyo mwanamke wangu anakua na ukaribu sana na wanaume.siku nikamkuta anakumbatiana na mvulana nikamuuliza Mama vipi?jibu samahani nikala kimya maisha yakaenda.nikitoka kazini namkuta na wanaume wanapiga stori roho inauma lkn nanyamaza tu.juzi amepata kazi anauza duka muda wake wakurudi nyumbani saa 12 sasa nikaona tofauti zinakuja ndani.nikaamua kumfuatilia nikakuta dukani anashinda na mwanaume napia anamchua nakurudisha nyumbani kwa pikipiki.maswali niliojiuliza huo uwezo wa kupanda pikipiki umbali wa kilomita 1 Kaupata wapi nakwanini anachelewakurudi saambili mtoto wa kike mi narudi 12 yeye saa 2 na mengineyo mengi hata kwenye tendo mgum kutoa na akitoa hashughuliki analala tu! Nahisi anatembea na mwanamme mwingine.mimi mpaka wakati huu nimemnunia tuna lala mzungu wanne.naombeni ushauri wenu wakuu nimeziwa na maumivu makali sana.
Huyo mwanamke wako hajatulia!im sorry to say that!nakushauri umwambie hupendezwi na tabia zake hizo za kujichanganya sana na wanaume..kama ni mwanamke mwenye heshima na akili atakusikiliza na atatulia...ila akijifanya kichwa ngumu mnywishe dawa yake mwenyewe ,mfanyie kama anavyofanya uwe busy na madem,tena uchelewe kurudi zaidi yake!Dawa ya moto ni moto!
 
sasa angemkuta bikira ndo angetulia zaidi au ndo angekuwa na mshawasha wa kuonja ladha tofauti?
 
Huyo mwanamke wako hajatulia!im sorry to say that!nakushauri umwambie hupendezwi na tabia zake hizo za kujichanganya sana na wanaume..kama ni mwanamke mwenye heshima na akili atakusikiliza na atatulia...ila akijifanya kichwa ngumu mnywishe dawa yake mwenyewe ,mfanyie kama anavyofanya uwe busy na madem,tena uchelewe kurudi zaidi yake!Dawa ya moto ni moto!

siwezi kabisa kua dem mwingine ninavyojisikia vibaya demu wangu akitongozwa basi mimi tokea niwe nae hata kwa bahati mbaya sijawahi kutongoza mwaka wa 3 sasa.
 
Vizuri mkuu hizo ni changamoto katika mahusiano maana wakati unatafakari unajaribu kuangalia mambo mengi ikiwemo uwezekano wa mahusiano kurudi kama zamani pia unaangalia je nikimpiga chini naweza pata mwanamke mwingine ambae ni perfect, je huyo nitaempata mwingine ikitokea nae amepata matatizo itakuaje?(nae utamwacha). Uzuri bado hujazaa nae hivyo bado una nafasi ya kumrudisha kwenye mstari na endapo hali itazidi hapo sasa ndio utachukua ushauri wa wanaJF ukichanganya na akili zako mwenyewe

asante.
 
Hahahaaaaaaaaaaaaa! Wanasema DAWA YA MOTO NI MOTO! ILA NAKUHAKIKISHIA NI MAJI!

Ye si Daz mama anarudi saa 2, we geuka Daz baba rudi saa 5 usiku wiki nzima, uone kama hajanyooka! Wala usimuulize kitu, fanya actions tu. Akijifanya kachoka we vuta gazeti soma na ucheke kwa nguvu kwa raha zako.

Sometimes mtu uki,penda sanaaaa anakuendesha kama gari bovu. Plus ukiishi na mtu sana anaanza kukutake for granted untill utakapomuonesha maybe not soo granted as she may think!

Saingine makusudi yake tu akuone utafanyaje coz keshajua unamzimia sanaaa!

daaa! Nipagum siwezi kabisa kumfanyia ubaya.
 
Nawashurukuruni sana wana jf kwa ushauri wenu sitamnunia tena wala sitamfuatilia tena afanye afanyavyo wala sitalipiza nitajikaza kiume nitakacho hakikisha natimiza majukum yangu kama mwanaume pia kitu ambacho najiuliza nitafanyaje akitaka mapenzi kwa maana nafsi yangu haitaki yaani hatakumshika sitaki mpaka sasa wiki ya 4 sijamgusa na yeye hana hata shida nilichokifanya kila mtu na shuka lake sa ndo najiuliza itakuaje akitaka wakati mi nimedhamiria kutomgusa halafu mi nidhaifu akinishika hata kidole tu jogoo anawika sijui nitafanyanyaje minimemkinai vituko vyake ni vingi sana kwangu na mimi nimkimya sana ninayaugulia moyo napata taabu sana wakuu..
 
Haya mapenzi yameniwia magum naumizwa hisia ninavyo mwanamke wangu anakua na ukaribu sana na wanaume.siku nikamkuta anakumbatiana na mvulana nikamuuliza Mama vipi?jibu samahani nikala kimya maisha yakaenda.nikitoka kazini namkuta na wanaume wanapiga stori roho inauma lkn nanyamaza tu.juzi amepata kazi anauza duka muda wake wakurudi nyumbani saa 12 sasa nikaona tofauti zinakuja ndani.nikaamua kumfuatilia nikakuta dukani anashinda na mwanaume napia anamchua nakurudisha nyumbani kwa pikipiki.maswali niliojiuliza huo uwezo wa kupanda pikipiki umbali wa kilomita 1 Kaupata wapi nakwanini anachelewakurudi saambili mtoto wa kike mi narudi 12 yeye saa 2 na mengineyo mengi hata kwenye tendo mgum kutoa na akitoa hashughuliki analala tu! Nahisi anatembea na mwanamme mwingine.mimi mpaka wakati huu nimemnunia tuna lala mzungu wanne.naombeni ushauri wenu wakuu nimeziwa na maumivu makali sana.

mpaka mke akunyime unyumba, lazima ulishamboa sanaaaaaaaaaa kwa hiyo hana hamu na wewe.

Mi sina cha kukushauri, tena kama ulimuumiza ndo akukomeshe kabisa
 
hahahaha nilikuwa nataka nitoe ushauri wangu lakini baada ya kusoma hapo kwenye nyekundu imebidi nicheke!
 
mpaka mke akunyime unyumba, lazima ulishamboa sanaaaaaaaaaa kwa hiyo hana hamu na wewe.

Mi sina cha kukushauri, tena kama ulimuumiza ndo akukomeshe kabisa
Alishamboa au kuna mtu mwingine anamgegeda ndo maana anamnyima unyumba mumewe na hana hamu
 
Kaeni, zungumzeni, semezaneni, ikumbukeni quruan ama biblia!WTE MKIMCHA MUNGU NA KUTAFTA MAARIFA YALIYO JUU YKE MTAELEWANA NA NDOA YENU ITASTAWI!Mungu awe kati yenu...
 
Haya mapenzi yameniwia magum naumizwa hisia ninavyo mwanamke wangu anakua na ukaribu sana na wanaume.siku nikamkuta anakumbatiana na mvulana nikamuuliza Mama vipi?jibu samahani nikala kimya maisha yakaenda.nikitoka kazini namkuta na wanaume wanapiga stori roho inauma lkn nanyamaza tu.juzi amepata kazi anauza duka muda wake wakurudi nyumbani saa 12 sasa nikaona tofauti zinakuja ndani.nikaamua kumfuatilia nikakuta dukani anashinda na mwanaume napia anamchua nakurudisha nyumbani kwa pikipiki.maswali niliojiuliza huo uwezo wa kupanda pikipiki umbali wa kilomita 1 Kaupata wapi nakwanini anachelewakurudi saambili mtoto wa kike mi narudi 12 yeye saa 2 na mengineyo mengi hata kwenye tendo mgum kutoa na akitoa hashughuliki analala tu! Nahisi anatembea na mwanamme mwingine.mimi mpaka wakati huu nimemnunia tuna lala mzungu wanne.naombeni ushauri wenu wakuu nimeziwa na maumivu makali sana.

hayo manyoa tayari kuku kaliwa ..... hutaki unaaacha!!!!
 
Back
Top Bottom