hivi kwanini 'bongoflava' makini zilipigwa chini kipindi cha uchaguzi??


Sizinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2007
Messages
8,037
Likes
593
Points
280

Sizinga

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2007
8,037 593 280
wana JF hembu tudiscuss kidogo, au nyie wenzangu mlilionaje hili? zile nyimbo bomba za bongo flava zikizoonyesha mustakabli nzima wa maisha yetu kwa viongozi tunaowachagua hazikupigwa sana na baadhi ya radio stesheni nyingine hizi nyimbo hazijapigwa kabisa, na zina ujumbe nzuri tu: Mfano:

1. Nyimbo ya Prof. Jay-Ndio mzee
2. Nyimbo ya Roma-Mr. President
3. Nyimbo ya Juma Nature-Muungano CCM na CUF
4. Nyimbo ya Nakaaya.

na nyinginezo.....so ina maana hali hii itakuwa hivyohivyo hata kama wasanii watajitahidi kuleta challenge kwa serikali lakini pini zitabaniwa at the time of election??? Tujadili
 

Forum statistics

Threads 1,205,004
Members 457,674
Posts 28,179,461