Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,687
- 8,600
- Thread starter
- #21
Dah kwani mtu akisema tumeamua tu kutengana kuna shida? Lakini mtu akubali atalazimisha uhalali wa kuachana mbele ya jamii, chakushangaza wote wanalalama hadi unashindwa kujua mkweli naniKinachotokea hapo ni kutafuta uhalali wa kuachana, waswahili wanasema kosa mija haliachi mke, ila kosa moja zito hukirupusha na mengineyo ambayo mwenza aliamua kuyastiri akitegemea huenda akabadilika. Sasa yamekufika hapa unaona utoe file lake ili jamii i justify kama ni halali