Hivi kwa nini wenza wakitengana mambo yote huwa hadharani?

Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,551
2,000
Kinachotokea hapo ni kutafuta uhalali wa kuachana, waswahili wanasema kosa mija haliachi mke, ila kosa moja zito hukirupusha na mengineyo ambayo mwenza aliamua kuyastiri akitegemea huenda akabadilika. Sasa yamekufika hapa unaona utoe file lake ili jamii i justify kama ni halali
Dah kwani mtu akisema tumeamua tu kutengana kuna shida? Lakini mtu akubali atalazimisha uhalali wa kuachana mbele ya jamii, chakushangaza wote wanalalama hadi unashindwa kujua mkweli nani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom