Hii namba tatu mbona kama ramli chonganishi.Jiwe gizani1. upande wa kifedha, mchawi server baba,
izo gharama zake uwe tayari kupata return baada ya miaka mingi mingi ( na hapo umekusanya wateja wa kutosha )
2. upande wa kitech , na assume wapo wabongo watakaoweza 'unda' hiyo kitu
3. 10% , na kadhalika
😂 😂 😂 😂 tena ukute hapa Bongo iyo ndiyo yenye nguvu kuliko hata izo za mwanzoHii namba tatu mbona kama ramli chonganishi.Jiwe gizani
yawezekana wapo, walau kuunda something close to UberHiyo namba mbili Unataka kusema hakuna software engineers na programmers wanaoweza 'kuunda' hiyo kitu?
kwa Uber, wanafanya hybrid, ie: dedicated za Amazon(aws) + dedicated za kwao(physical),Hiyo namba moja..Hizo Server ni za kwenye cloud unazilipia amazon,Azure au unajenga physical?
mengi ni shared hosting, baadhi ni vpsMakampuni mengi hapa bongo yanatumia mbinu ipi kati ya hizo?
Umeshatengeneza apps ngapi za kibiashara? Naona umepiga chai sana!UBER wamewekeza sana mkubwa kwenye hiyo huduma yao kiasi inafikia hatua wanakubali wapate hasara hata miaka 3 mfululizo ili tu huduma yao iwe bora
Sasa kwa wawekezajia wa kibongo gharama tu za server hawataziweza wala App haitafanyiwa maboresho ya mara kwa Mara
Mimi tenaUmeshatengeneza apps ngapi za kibiashara? Naona umepiga chai sana!
Kujenga app sio kitu kigumu. Max miezi mitatu unatengeneza app ambayo kimsingi inafanya karibu vitu vyote vya msingi uber inafanya.
Siku zote tatizo liko kwenye kuendesha biashara baada ya app kuwepo. Sales/Marketing, Compliance and Lega issues ndio haswa pagumu. Inahitaji msuli na plan za nguvu sana kupenya hapo.
Mazingira yetu si rafiki hata kidogo. Kumbuka hizi kampuni zililelewa kwao mpaka zikakua. Sisi hapa kwetu hatulei. No wonder hatuna kampuni strong za kuzipeleka nje kulinganisha na demograph na resources zetu!
UBER wamewekeza sana mkubwa kwenye hiyo huduma yao kiasi inafikia hatua wanakubali wapate hasara hata miaka 3 mfululizo ili tu huduma yao iwe bora
Sasa kwa wawekezajia wa kibongo gharama tu za server hawataziweza wala App haitafanyiwa maboresho ya mara kwa Mara
No.Kuna mtu ananidokeza hapa eti nikweli taxfy ni ya Kenya?
Jf huwezi jua wamepitia mangapi mkuu mpaka wakaweza kulipia server na maintenance nyingine hasa za securityHayo maserver ni makubwa kuliko ya labda JF? Nauliza tu kujua
Naamini wakianza kuingiza mpinga wa maana watafanya tu updates
Mkuu,Wakuu nilikua na ist yangu ikabidi nimkabidhi dereva tuifanye Tax. Na kwenda kisasa zaidi ikabidi tujiunge UBER....kwasababu za kimaslahi ikiwemo UBER imebidi niipaki kwanza.
Aisee jamaa wanapiga hela wale watu, yaani kila kitu ni cha kwako... Kuanzia gari, kodi na vibali vyoye, matengenezo, faini za barabarani, smartphone, mafuta nk. Wao wanakupa App yao tu basi na kukuunganisha na wateja kwa app yao halafu wanaramba 25% kwa kila kichwa aisee
Nikawa najiuliza hivi haiwezekani mbongo akatengeneza App ya kibongo halafu akashusha bei ya makato na akaweka mazingira rafiki ya kibongo bongo hadi mikoani si atapiga sana hela.
UBER wapuuzi sana wana mambo sio poa kabisa, wanatuletea vigezo vyao kama kwao USA bana.
Tuna kwama wapi kwani
Mbona naona kama fursa hii kwa wadau wa tech
Taxify aka Bolt ni ya Estonia kama nakumbuka vyema. Kiufupi ni kampuni ya EU na sio Afrika. Alipiga chai tu huyoKuna mtu ananidokeza hapa eti nikweli taxfy ni ya Kenya?
Inawezekana kabisa mkuu ila kwa mazingira ya biashara ya bongo its easier said than done kuna njia ndefu kupita. UBER ni giant na ina backup ya kutosha. Kukupa tu picha halisi namna jamaa walivyo njema, UBER wanaspend zaid ya Dola Billioni 2 kwenye shughuli za utafiti tu (Research and Development). Hiyo pesa inatosha kujenga SGR Dar mpk Dodoma na chenji ikabaki.Wakuu nilikua na ist yangu ikabidi nimkabidhi dereva tuifanye Tax. Na kwenda kisasa zaidi ikabidi tujiunge UBER....kwasababu za kimaslahi ikiwemo UBER imebidi niipaki kwanza.
Aisee jamaa wanapiga hela wale watu, yaani kila kitu ni cha kwako... Kuanzia gari, kodi na vibali vyoye, matengenezo, faini za barabarani, smartphone, mafuta nk. Wao wanakupa App yao tu basi na kukuunganisha na wateja kwa app yao halafu wanaramba 25% kwa kila kichwa aisee
Nikawa najiuliza hivi haiwezekani mbongo akatengeneza App ya kibongo halafu akashusha bei ya makato na akaweka mazingira rafiki ya kibongo bongo hadi mikoani si atapiga sana hela.
UBER wapuuzi sana wana mambo sio poa kabisa, wanatuletea vigezo vyao kama kwao USA bana.
Tuna kwama wapi kwani
Mbona naona kama fursa hii kwa wadau wa tech
mbona Kali linux ilitengenezewa SingidaIpo siku mtasema Microsoft Office bei sana tutengeneze ya kwetu.
Nakumbuka enzi zile vijana wa chuo wanafanya ujinga ku-customize Ubuntu [emoji3][emoji3] sijui waliishia wapi? [emoji3][emoji3]
Unatakiwa uwe na msuli mkubwa sana kupambana na Giants ambao mifumo yao imepitia research na updates za miaka zaidi ya 20.
Unaota wewe?mbona Kali linux ilitengenezewa Singida
Mbona naskia mzanzibari ndo aligundua computer...ila wazungu wakamchukua wakampeleka kufanyia experiments knowledge yake halafu walipoitengeneza wakamuua hata hawakumtajaUnaota wewe?
Idiot.Mbona naskia mzanzibari ndo aligundua computer...ila wazungu wakamchukua wakampeleka kufanyia experiments knowledge yake halafu walipoitengeneza wakamuua hata hawakumtaja