mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,432
- 2,892
Umetisha na huna mchezo kwa hiloMkuu mtu alikukataa namba zake zinafanya nini kwa simu yako? Piga blok piga reject list piga sparm delete
Maana yake anakudharau sanaUmemtongoza mwanamke amekukataa, kutokana na sababu anazojua mwenyewe. Ukaamua kupotezea.
Siku kadhaa mbeleni anakuja anakutafuta anakwambia kuwa ana shida ya kiasi cha fedha umsaidie!!
Hii inamaanisha Nini??
(a) Anataka kukutumia tuu?
(b) Anakupima tuu?
(c) Anakutaka?
(d) Anajiona A T M?
(e) Hana maana yeyote?
(f)........... Au?
NININI HUKU YAKE?
1. Umpe pesa ?
2. Umkopeshe?
3. Usimpe?
4. Umpe na umuombe tena kifuu tundu / papuchi?
Uzi tayari.
MAJIBU TAFADHALI.
mzee wa kasumba
anakuona wewe teja wa mapenziUmemtongoza mwanamke amekukataa, kutokana na sababu anazojua mwenyewe. Ukaamua kupotezea.
Siku kadhaa mbeleni anakuja anakutafuta anakwambia kuwa ana shida ya kiasi cha fedha umsaidie!!
Hii inamaanisha Nini??
(a) Anataka kukutumia tuu?
(b) Anakupima tuu?
(c) Anakutaka?
(d) Anajiona A T M?
(e) Hana maana yeyote?
(f)........... Au?
NININI HUKU YAKE?
1. Umpe pesa ?
2. Umkopeshe?
3. Usimpe?
4. Umpe na umuombe tena kifuu tundu / papuchi?
Uzi tayari.
MAJIBU TAFADHALI.
mzee wa kasumba