Hivi kuombwa pesa na mwanamke aliyekukataa ina maana gani?

Kama una Pesa Mpe, Kisha usiendelee Kumtongoza.. Kama akiomba tena na unazo mpe.. atakutongoza mwenyewe!
 
Kusema ukweli kaniomba leo jioni nimkopeshe laki au 80k. Ni ex wangu, nilimwambia hela nataka niizungushe baadae nipate return nikamwambia na tarehe ya kutuma hiyo hela. Akataka nimpe atarudisha Jumamosi nikamkatalia kistaarabu maana imekuwa kawaida yake kuniomba. Nimefanya hivi kupunguza mazoea maana ana midume kibao mishalobalo ana-hang nayo haimsaidii, au nisijue labda huwa ananikomoa
 
Maana yake anataka umsaidie kama unavyoweza kumsaidia mtu mwingine mwenye uhitaji pasipo kuweka maslahi mbele
 
Msaidie tu kama dada yako, alafu inaonekana ulivimba sana kipind unamtongoza that's y kakukumbuka ili umsaidie
 
Kama una Pesa Mpe, Kisha usiendelee Kumtongoza.. Kama akiomba tena na unazo mpe.. atakutongoza mwenyewe!
Mtoa mada nakushauri usimpe hela. Kwanza potezea kwa siku mbili tatu hiyo sms yake. Then baada ya hapo mjibu sms kwa kumsalimia tu. Akizidi kuomba hela mwambie hela siyo issue sana mi nina hamu na wewe siku nyingi na unajua wewe. Tafadhali tusahau yaliyopita twende sehemu tukajifungie tukaenjoy mzigo. Mwambie live bila kupepesa atajileta mwenyewe bila shaka, lakini akijifanya anazingua kaa kimyaaa usitie neno lolote kubishana naye! Akija, piga show kali ya mahaba sana na maongezi mengi ya mambo ya kimaendeleo. Baada ya hapo, mpe hela siyo nyingi (isizidi elfu 50 hata kama unazo hela nyingi). Baada ya hapo atakuwa mtumwa kwako. Unaamua lini umpe sh ngapi na lini ule mzigo. Wanaume wote tungekuwa tunatokea sehemu moja hawa viumbe wasingetusumbua. Sema kuna midume inawatetemekea ndo maana wanasumbua.
 
Back
Top Bottom